CCM /LumumbaInategemea unakosoa nini, Unaweza kukuta unakosoa kile ambacho wenzako wamekosoa, ila unabadilisha heading tu, maudhui ni yaleyale, lazima wafute tu, mnatuchosha
Wasiliana na JamiiForumsWadau kwa member yoyote anayejua namna ya kujitoa (left) kwenye hii forum... kwa ufupi jf imepoteza mvuto kabisa, jf siku hizi wanachagua thread na kuangalia nani katuma.. humu kuna watu wakileta hoja hoja zao zinaachwa hata ingekuwa haina mashiko itaachwa tuu na kuna wengine hawatakiwi kabisa kuleta hoja hata ingekuwa na mashiko kiasi gani itatolewa tu na wakikuhurumia saana badi wanataguta kithread haka kama kipo outdated wanaunganisha
Hizi ndio sababu zimenifanya niombe msaada kwa anayejua namna ya kuleft kwenye hii jamiiforums.. sitaki tena kuwa member humu
there is no way you can opt out. vumilia ni kilio cha wengi. nao wanaogopa pyu pyu pyu, wanajaribu kubalance uwepo wao !Wadau kwa member yoyote anayejua namna ya kujitoa (left) kwenye hii forum... kwa ufupi jf imepoteza mvuto kabisa, jf siku hizi wanachagua thread na kuangalia nani katuma.. humu kuna watu wakileta hoja hoja zao zinaachwa hata ingekuwa haina mashiko itaachwa tuu na kuna wengine hawatakiwi kabisa kuleta hoja hata ingekuwa na mashiko kiasi gani itatolewa tu na wakikuhurumia saana badi wanataguta kithread haka kama kipo outdated wanaunganisha
Hizi ndio sababu zimenifanya niombe msaada kwa anayejua namna ya kuleft kwenye hii jamiiforums.. sitaki tena kuwa member humu
Forum imepoteza mvuto kabisa hata kama uwoga umewazidi wanatia kinyaathere is no way you can opt out. vumilia ni kilio cha wengi. nao wanaogopa pyu pyu pyu, wanajaribu kubalance uwepo wao !
Exactly tuwaachie liforum laoNi vema wakatoa option hiyo
Wewe unawashwa washwaUliingiaje kwani...??
Hapo ulipoingilia tokea hapo hapo
Kubaki na membership humu hata kama haulog in nisawa na kuzika maiti ndani halafu unajidanganya utasahauWewe acha kupost chochote humu wala usiwe unaingia jf tena,hapo utakua umeshajitoa humu.