Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Wakuu ,

Mara nyingi nimekuwa natafuta njia za kujitoa JF lakini hamjanipatia jibu.

Nibonyeze kitufe gani ili account yangu iwe imefutika kabisa JF?

Sababu za kujitoa ni nyingi lakini kubwa kabisa mtandao wa JF umekuwa kama nyau aliyelowa maji. Mada zinafutwa bila sababu, watu wanapigwa BAN kwa makosa ya shule ya msingi nk.

Kifupi nimechoka kukaa JF ya sasa labda ingejirudia ile JF ya zamani iliyonifanya nikajiunga nayo.
 
mnatukana na kuongea maneno ya ovyo halafu mnataka muendelee kuwepo tu...jf sio kichaka cha wahuni, kama huwez better leave
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom