Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Kama hamtaki na ukumbi wenu sema, maana kuwabembeoeza ssa basi. Mnafuta kila kitu kuhusu kuikosoa (si kitukana) serikali. Kutukana sawa futa lkn ya kukosoa mnafuta ya nini. Mnachosha

Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
 
Inategemea unakosoa nini, Unaweza kukuta unakosoa kile ambacho wenzako wamekosoa, ila unabadilisha heading tu, maudhui ni yaleyale, lazima wafute tu, mnatuchosha
 
Nasisitiza kabisa kuwaambia kuwa mnayofanya haiendani na uhuru wa kutoa maoni kama mnavyoaminisha watu mnanyimwa uhuru huo.

Rais anadhalilishwa humu,anatukanwa hamfungii lakini kumuita Ngurumo mpumbavu mnanifungia.

Naamini mlitaka kumkinga ili uongo wake usibainike lakini wapi haikusaidia ujumbe umefika kwa njia nyingine.

Huyo ni muongo tu
 
Attachments

  • Screenshot_2018-04-04-19-37-57-1.png
    Screenshot_2018-04-04-19-37-57-1.png
    82.8 KB · Views: 101
Wadau kwa member yoyote anayejua namna ya kujitoa (left) kwenye hii forum... kwa ufupi jf imepoteza mvuto kabisa, jf siku hizi wanachagua thread na kuangalia nani katuma.. humu kuna watu wakileta hoja hoja zao zinaachwa hata ingekuwa haina mashiko itaachwa tuu na kuna wengine hawatakiwi kabisa kuleta hoja hata ingekuwa na mashiko kiasi gani itatolewa tu na wakikuhurumia saana badi wanataguta kithread haka kama kipo outdated wanaunganisha

Hizi ndio sababu zimenifanya niombe msaada kwa anayejua namna ya kuleft kwenye hii jamiiforums.. sitaki tena kuwa member humu
 
Wasiliana na JamiiForums
 
there is no way you can opt out. vumilia ni kilio cha wengi. nao wanaogopa pyu pyu pyu, wanajaribu kubalance uwepo wao !
 
Hata usipate taabu we mtukane mtu yeyote intensively

Hapo utakuwa umeleft mwenyewe automatically na hautaweza kupata access ya kulogin tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom