Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Unataka kutoka uende wapi na nje huko mvua inanyesha sana,Baki tu humu maana pia unaweza ukakutana na Wasiojulikana
 
Hakika umenena,kuna watu wanataka kuiendesha jf kwa mawazo yao tu juu ya kile wanachotaka kukisia na kukisoma,wanaheshimu zaidi personal interest zao,pinga hoja ya mtu kwa hoja na si kwa kuzivuta ama kumpa mtu Ban,ni udhaifu mkubwa sana na utoto unaotia kichefu chefu.
 
Ongeza kazi katika utoaji wa lugha chafu mpaka ule ban ya maisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom