bosskilala
New Member
- Sep 26, 2010
- 2
- 0
Mii si MBUMBUMBU
Hivi inanishangaza sana kuona Serikali ya Tanzania inavyoagiza Magari ya Kifahari kama Toyota Land Cruiser V8 nchini JAPAN
Gari moja ni zaidi ya TSH 60,000,000/ (MILIONI SITINI)
Utashangaa sehemu fulani hapa nchini, JAPAN imetoa MSAADA wa kuchimba KISIMA CHA MAJI CHA TSH 3,000,000 (MILIONI TATU)
Pesa za kununua magari zipo lakini za kuwajengea wananchi kisima hazipo.
MI SIO MBUMBUMBU
TUAMKE WATANZANIA