Elections 2010 Mihuri na form za matokeo zakamatwa Anatoglo!

Kijana mmoja amekamatwa anatoglo na muhuri wa tume ya uchaguzi akiwa anataka kuingia nao ndani. Kijana huyo alikamatwa likiwa ni tukio la pili ambalo limefuatana na lile lilotangulia la kukamatwa kwa mtendaji kata wa Tabata aliyekuwa na karatasi zaidi ya tano za matokeo ambazo zilikuwa zimejazwa na hazikuwa na muhuli wa tume.
Kinachosikitisha ni kwamba polisi walimuachia yule kijana baada ya kuwaambia alikuwa ameokota na kumpelekea mjumbe wa nyumba kumikumi.

Source ITV.
 
Omutwale jeshi la ubungo mmelihamishia huko segerea au?

ckuja na kikosi kazi coz walini-tip kwamba ushindi ulikuwa umekamilika na saa inayofuatia ilikuwa ni ya kusherekea. Lkn naona imechukua kitambo sasa!
 
Watabana Wataachia. Mungu ni wasote na wanyonge Mungu anawajua.
 
jamani hawa watu wamezidi sasa, huyu mahanga hakubali kwamba mwaka huu ni mwisho wa ukihiyo na yeye mwenyewe amekua stooge ya mafisadi, anajiita dr nae pia wakuchakachua. Je si mmesikia kwamba kuna kijana kakutwa na boxi kasema ameweka mihogo walivyompekua wamemkuta na makaratasi ya kujazia matokeo na mihuri ya NEC na ule wino. akapelekwa polisi, kuulizwa akasema alimtumwa na mtendaji, sasa cha ajabu muda mfupi baadae wale waliompeleka pale wakijua kabaki polisi wakamkuta tena kwenye eneo la tukio, walivyomuuliza umerudije tena huku wakati tulikuachapolisi akasema polisi wamemuachia. Unajua sasa ndio hawa watu wanataka tuanze kuchukua sheria mkononi mwaka huu hatuko tayari kuibiwa kura zetu na hawa washenzi kama wananchi zao wakatawale hizo ama wapewe nchi nahao mafisadi wao
 
Hali si Nzuri tumewakilisha{Kupiga Kura} kwa Amani sasa mnataka kutupeleka wapi??na je hii tume ya Uchaguzi tuiite ni ya CCM tuibadili jina au
Ni aibu kwa vitendo kama hivi
 
Hilo jimbo limekaa ki-Ilemela Ilemela tu na bora watutangazie hayo matokeo first thing tomorrow morning.
 
Ikifika kesho asubuhi watakuwa wameishafanya la kufanya, ndio maana wanajaribu mbinu zote. Inabidi tu washinikizwe kutangaza usiku huu huu.
 
Zile form zilikuwa za kutunisha matokeo ya mahanga angalau wakaribiane na Mpendazoe then wachakachue kura za Urais!!! wamefanya hivyo takriban ktk kila jimbo...
 
Chama Cha Majambazi wanafahamu ujambazi tu hawawezi kufanya lolote na tutaona kama wataweza kuongoza nchi kwa wizi. Tuliwaambia muda tunao na tutaona mwisho wake whether they like it or not. CCM wabaki kwa wapinzani tu sasa.
 
Kama kuna tume ya uchaguzi yenye nyani wanaozaniwa watu barani Africa, basi ni Tanzania. Nakuhakikishia kwa stail hii ya wizi nusu ya majimbo yaliyotangazwa kuchukuliwa na ccm yaliongezwa kura zinafikia elfu kumi hadi ishirini. Wameingia madarakani kwa dhulma na hakika yake Mungu atatulipia kisasi hapa hapa duniani, hawatamaliza miaka yao mitano kwa amani.
 
Kama haya yanatokea Dar what about in remote areas vijijini, huko wamefanya makuu tuombe Mungu atuepushe na linalotaka kutokea Tz.
 
Naomba sana kama kuna mtu karibu jitahidini mpate picture kwa ushahidi, waliotoa fedha kugharimia uchaguzi wetu tuwaonyeshe jinsi genge wanaloliamini linavyoharibu kura za walipa kodi wao.
ninamaana tuwatumie wabunge wa EU na kuwaeleza kilio chetu.
 
kama haya yanatokea dar what about in remote areas vijijini, huko wamefanya makuu tuombe mungu atuepushe na linalotaka kutokea tz.

ni hapo sasa ,mimi nimesema kama ccm watataka kutawala kwa mabavu basi utawala wao utakuwa mgumu kupita maelezo
 
We knew about this!! na niko happy na the way wa TZ tulivyoamka, sasa kazi ipo kwa hawa wachache kuelimishwa! ili wajitambue na wawe na hope in the future!! YEEEHAA!!! WE ALL HATE FISADIZ!:israel::israel::peace::peace:
 
Back
Top Bottom