Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,112
- 2,323
Habari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo ambayo sijayazoea kwa muda wote nikitumia Oryx, cheki hii picha
Mshale ukaonesha kama hivyo na sijawahi kuona wakati natumia Oryx, basi nika disconnect nikaweka wa Oryx nikapata haya matokeo, sasa najiuliza,
Mshale ukaonesha kama hivyo na sijawahi kuona wakati natumia Oryx, basi nika disconnect nikaweka wa Oryx nikapata haya matokeo, sasa najiuliza,