Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,912
- Thread starter
- #1,041
Mtu mzima wewe, kuwa na encrypted password manager, siyo kila kitu mpaka mfundishwe shule.Ni kweli Binti wa zamani , huwa natumia email za ambazo nakuwa hata sina access baada ya kufungua account. Na mie nina mzigo wa password inafikia kipindi ndio inakuwa kama hivyo nikabilisha tu device napoteza account haza ambazo hazinipi hata cent