Migogoro ndoa za wasomi

Safi sana ndo maana siku hizi single parent wameongezewka kwa tamaa ya pesa/maisha mazuri
 
No. 4 kwa wanawake imewapoteza sana. Kama unabisha soma wanavyotirirka, hata mwelekeo wa uhalisia hawana
 
Tatizo si elimu, tatizo kubwa ni tumemtupa Mungu wetu katika maisha yetu na kujifanya sisi tunaweza kufanya vyovyote tunavyotaka
 
Pale Muhimbili kuna mama mmoja ni daktari ameolewa na mtunza bustani za hospitali, tena wanaishi vizuri sana. Inasemekana aliolewa na daktari mwenzake kabla lakini waliachana.


That is so sweet...
 

Mkuu sina uhakika kama umesoma vizuri ufafanuzi wa huyu muandishi. Ninachoona ni kwamba amejitahidi kubalanzi andishi lake bila kupeleka lawama za moja kwa moja kwa jinsia yoyote ile.
 
Mapenzi hayahitaji PhD holder unachohitaji ni TLC Tender Loving Care.

You have said it all my dear. Uko sahihi kabisa. Watu wanajisahau tu. And normally ili mapenzi yawe matamu na yenye furaha tele kunahitajika vitu vidogo vidogo sana kutoka pande zote....but they count immensely kwenye kujenga penzi imara. Big things huwa zina complement na ku-nourish tu !!
 
Ni kweli mkuu, kuna siku mfanya kazi mwenzetu alikuwa mgojwa, tulikwenda kumjulia hali, basi mke wa yule jamaa alikuwa amepika cake, maandazi, alitutengea chai. Mwenzetu alitueleza kuwa mke wake hamtengenezeagi chai, akiuliza chai anaambiwa kwani huna mikono, birika, sukari na majani vyote vilipo unajua. Nilifikiria tu huyo mama angejua tofauti kubwa atakayomfanyia mumewe siku akianza kumtengenezea kikombe cha chai. Unaona ni jambo dogo sana lakini linamuumiza mume wake.
 
Louis de broglie


Dunia imebadilika. Wanawake wanapaswa wasome, waheshimiwe zaidi katika mahusiano kama vile wanaume tunavyoheshimiwa. Mkuu wewe unaogopa mwanamke akiwa financially independent? Wasiwasi wako chanzo nini, haujiamini kuwa unaweza kuwa huru tu hata kama mwanamke anajitegemea na anasimamia anachokiamini? Ukiwa na mentality hii ya woga utaishi kwa jazba na haitosaidia lolote. See? Mkuu inatakiwa uwe mshindani mjuzi na mwenye akili. Kuendesha uhusiano kwa tamaduni za mababu haifit kwa wakati huu. Usiogope mabadiliko, yakumbatie mabadiliko, au vipi jaribu kubadilisha hiyo hali. Bless man.
 
Koh Koh Koh "small things matter the most "
 
Kuna watu they keep on counting vikubwa tuu....tunawafanyaje hao
Ni kazi kumfundisha mtu kuappreciate kitu ambacho haoni kama kina faida yoyote kwake. Omba Mungu siku akivikosa hivyo vitu, possibly anaweza akagundua thamani ya alichokuwa anakitake for granted, so next time akikipata atakiappreciate
 
Mwanaume atakuwa juu ya mwanamke.
 
Nikuchanganya mambo ndio kunawagharimu, mapenzi na taaluma havihusiani ktk kuleta furaha na amani. Ni chemistry kati ya wawili wapendanao na kuridhiana.
 
Alichoeleza mleta madai ni utafiti kama unaelewa maana ya utafiti. Sio kuwa kila utafiti lazima uwe formal na publications. Unaweza kuobserve jambo kwa kipindi fulani na kutafsiri tayari huo ni utafiti.

Pia katika ndoa wanaume wawili au wanawake wawili (mwanamke aliyejigeuza mwanaume au mwanaume aliyejigeuza mwanamke) hawawezi kuishi pamoja, inabidi waachane ili kila mmoja akatafute mwanamke (kwa case ya kwanza) au kila mmoja akatafute mwanaume (kwa case ya pili).
Ziko familia hata wakialikwa arusi hawawezi kwenda pamoja au hata kanisani hawawezi kwenda pamoja.
 

Umeona eeh! Ndio hivyo mkuu...kuna cha kujifunza hapo. Asantee
 
Ni kazi kumfundisha mtu kuappreciate kitu ambacho haoni kama kina faida yoyote kwake. Omba Mungu siku akivikosa hivyo vitu, possibly anaweza akagundua thamani ya alichokuwa anakitake for granted, so next time akikipata atakiappreciate
Baada ya kuwa ushampoteza.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…