Mifupa ya Kitimoto kwenye Guest mkoa mpya Katavi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mifupa ya Kitimoto kwenye Guest mkoa mpya Katavi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Aug 8, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,053
  Trophy Points: 280
  Nimekaa gesti tatu tofautitofauti, kila gesti niliyolala nimekutana na mifupa juu ya miimo ya mlango>
  Nimewauliza wenyeji wangu, mifupa hiyo ni kwa ajili ya nini??
  Wamenijibu eti inawafukuza wachawi.
  Kweli tembea uyaone
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 763
  Trophy Points: 280
  Tutajie basi hata majina ya hizo guest/hotel.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,986
  Likes Received: 5,127
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmh
   
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  iman potofu
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,097
  Likes Received: 10,414
  Trophy Points: 280
  du imani zao ni haba hawa ndo wale anaambiwa ua albino or mtoto wako wanakubali aghrrrr
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Jamani, kuanzia lini mifupa ikafukuza wanga?
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  chunguza sana kwenye magodoro na mito ya gesti nyingi tanzania utakutana na hayo mauzauza.
   
 8. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka nilienda Guest moja jijini Mwanza,
  ktk kugaragara peke yangu si nikafunua godoro,
  nikakuta noti kama 25 za elfu kumikumi zimepangwa kiustadi huku zimezungushiwa hirizi nyeusi.
  Kwa ujasiri nilizichomoa zile fedha nikaacha Hirizi.
  Mpaka leo najiuliza sijui nilipata wapi ujasiri ule.
  Ila kiukweli Ulozi upo sana ktk Hizi Gesti tunazokwenda.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Ni security iyo mkuu vinginevyo hulali umo
   
Loading...