Mifuko ikiwa imefungwa vizuri, mazao yaweza kuhifadhiwa miaka kadhaa. Kwa majaribio yetu tuna mazao yamekaa mwaka mmoja tayari.Kwa mda gani inaweza kutunza!!! Be specific mkuu.
5000Kwa sasa bei ya hiyo mifuko ni ajee?
Shukrani5000
Nitatafuta mkuuShukrani