wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,937
- 5,755
Huyo ni kaka Mshana nmemkaribisha huku DenmarkDuh, Watu wa Dermak kumbe mnafanana hivi?
Kasema atakuja August
Huyo ni kaka Mshana nmemkaribisha huku DenmarkDuh, Watu wa Dermak kumbe mnafanana hivi?
Nunua mess tinsMimi nawaza namna ya kungandisha mabonge ya barafu yangu yale ya 1000,ya kuuzia wauzaji wa vinywaji
Yarabi tobaaaaaa mfuko umepoteza nguvu za kiume siku ya kwanza ya ndoa, hatari sanaaaaaa
washageuza fursaLeo nimefungiwa sukari kwenye bahasha ya kaki, nikaambiwa nililipie na bahasha, nikagoma nikaomba hela yangu na kwenda duka lingine
Unamkaribisha kwani uko ni kwenu?Huyo ni kaka Mshana nmemkaribisha huku Denmark
Kasema atakuja August
Nunua mess tins
Hapo lazima wajiongeze haiwezekani ban ya mifuko iwape wao faida mara dufuKuna siku mama mmoja sokobi nimenunua vitu kwake vingi tu, mwisho namwambia niwekee kwenye mfuko akasema wa mia au mia mbili. Nikaweka simu sikioni nikasepa akiwa anaona.
Lazima tupambane nao tuwashageuza fursa
Wajinga sana hawa
Huyo alikuwa ananiuzia hizi nylon, nikagoma sasa sijui hawa wa vifungashio vya kaki wataniambiaje nao.Hapo lazima wajiongeze haiwezekani ban ya mifuko iwape wao faida mara dufu
Ndio zipi hizo aisee maana nahisi nitalala njaa na ndio kazi yangu pekee inayochanganya
Asante ili zoezi nalifanyia kazi haraka iwezekanavyo
Hapo inabidi uende na kikombe kidogo cha plastic dukani au vichupa vya viroba vile vidogo.Vip wanao nunua mafuta ya mia mbili itakuwaje?😊
Kweli kabisa hii mifuko mipya ina kg's zake na sizes zake sio mfuko wa 2kg unaweka 5kg unategemea nn sio condoms hiziNi makosa tu ya kupima nauhakika mifuko ya plastiki ndio mirahisi kupasuka zaidi kama utazidisha mzigo.Kinacho onekana hapo ni mbebaji aliupa sifa kubwa mfuko kubebesha mzigo mkubwa mno.