Mifuko mipya

Mifuko mipya

Nikamuuliza watu wasiponunua vifungashio ndio hamfanyi biashara? Akasema bahasha wamenunua hela kubwa, nikamuuliza tena kwani mifuko mlikuwa hamnunui? Akajikanyaga hapo nakaomba hela yangu nikaenda duka lingine nikafungiwa na mfuko nikasepa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo nimefungiwa sukari kwenye bahasha ya kaki, nikaambiwa nililipie na bahasha, nikagoma nikaomba hela yangu na kwenda duka lingine
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu tutalipia tu, la sivyo ubebe kapu.
 
Mkataa kwao mtumwa
Maneno ya kujifariji hayo mkuu Karibu Sana hapa Copenhagen capital city of Denmark nchi ya maziwa na asali
tapatalk_1558236907737.jpeg
 
Hivyo ni vifungashio havina shida
Mmmhhh kweli,wasije nifanyia biashara ya kuongeza mapato serikalini au nikamnunulia mtu nyama ya iddi aisee
Mbona nasikia hata ya kufungia karanga za 100 ma maji ya kandoro nayo wamepiga ban...
 
Mmmhhh kweli,wasije nifanyia biashara ya kuongeza mapato serikalini au nikamnunulia mtu nyama ya iddi aisee
Mbona nasikia hata ya kufungia karanga za 100 ma maji ya kandoro nayo wamepiga ban...
Nitaleta ufafanuzi kesho.. Vifungashio havijapigwa marufuku bali vibebeo
 
Hivi uzuiaji Wa hizi Maribolo a.k.a Rambo, mbona hausishi packaging kama zile za Mikate, na zingine zingine kama zile za mandazi ya bahresa ,naona bado hapo hatujaondoa tatizo.

Hivi kwa mfano mm hapa nikawa naenda duka na mfuko ule Wa Mikate ukiwa mtupu , Nina kosa gani ?
 
Nitapambana aisee sitaki kulipishwa kifungashio kizembe jambo ambalo muuzaji wa bidhaa anatakiwa anifanyie mimi mteja
Kuna siku mama mmoja sokobi nimenunua vitu kwake vingi tu, mwisho namwambia niwekee kwenye mfuko akasema wa mia au mia mbili. Nikaweka simu sikioni nikasepa akiwa anaona.
 
Back
Top Bottom