cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,417
Ni makosa tu ya kupima nauhakika mifuko ya plastiki ndio mirahisi kupasuka zaidi kama utazidisha mzigo.Kinacho onekana hapo ni mbebaji aliupa sifa kubwa mfuko kubebesha mzigo mkubwa mno.
Hahahahaaaa.Steringi anakufa kwenye mauaView attachment 1113447
Sijabakisha mtu aisee.hata james delicious,vipengele vyote sports,actors ,politican n.k.wote ni binadamuKwahiyo mkuu umemfollow jumalokole kwenye IG??
Maisha hayawezi kuwa " siriaz" muda wote.Kwahiyo mkuu umemfollow jumalokole kwenye IG??
Hivi kumbe zinauzwaga madukani. Mimi Nilijua ni kama nyara hivi maana nilizionaga sana kwa wazee.Dah mustini hizo