Mifuko mbadala ya chakula /sukari/mchele.

Mifuko mbadala ya chakula /sukari/mchele.

Godfirst

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
414
Reaction score
482
Napokea oda zote kubwa na ndogo.
Mifuko imara imetengenezwa kwa cotton na paper materials.0757066208
Inaanzia tsh100 pc 115.
IMG_20190527_013806.jpeg
 
Ukihitaji lebo za branding hapo nicheki mkuu
 
Nyama tutawekea wapi
Tuonesheni mifuko yake pia

Ova
 
Nyama tutawekea wapi
Tuonesheni mifuko yake pia

Ova
Mkuu kuna makaratasi yanaitwa kwa kingoni Butcher's paper au makaratasi ya bucha kwa lugha yetu. Ni mazuri sana na yanatumika kufungia nyama nchi zilizoendelea. Nadhani itabidi wenye mabucha wayanunue. Anaifunga nyama kwanza kwenye hilo karatasi halafu ndiyo inawekwa kwenye mfuko.
1109647
 
View attachment 1109647
Ok safi

Ova
 
Back
Top Bottom