Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

Jerrytz ni wapenzi kwani hata ktk tuyafanyayo ni ya wapenzi kasoro hilo la kitandani tu.Nahic usipompa ndo atajenga eagerness ya kuwa mke ili aone pia yaliyomo,na pia ataniona nna msimamo na nnafuata andiko la biblia ipasavyo.

Una msimamo gani wakati watu kitu kilisha penetrate na goli liwazi waaaaaaa..! We mpe tu kama ni msimamo ulishakushinda kitambo
 
:A S thumbs_down:TAFUTA KITABU CHA "MWENZI WA MAISHA" (THE LIFEMATE) UTAPATA MAJIBU YAKO YOTE NA YALE YA WADAU WENGINE HUMU JF.USIPUUZI, NI MUHIMU SANA! KINAPATIKANA KATIKA MAENEO YALIYOTAJWA HAPA CHINI:
 
Hbr wana-Jf?Tayari nipo kwny mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa ktk mahusiano km miez 6 kwnz ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwny harakati za kutaka nikapafahamu kwao Mwanza,tupo Moro wote.
Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautam.Ni busara kweli kumpa na je nisipompa akitafuta kwingine je na kunogewa huko?Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too na hata ikiwa tofauti I will be ready kuvumilia yote.
Plz nifanyeje?
Hizi shule zinazochelewa kufunguliwa nashauri zifunguliwe mapema ili hawa watoto warudi shuleni maana wanatusumbua sana na hadithi zao za sungura na fisi.
 
Hbr wana-Jf?Tayari nipo kwny mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa ktk mahusiano km miez 6 kwnz ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwny harakati za kutaka nikapafahamu kwao Mwanza,tupo Moro wote.
Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautam.Ni busara kweli kumpa na je nisipompa akitafuta kwingine je na kunogewa huko?Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too na hata ikiwa tofauti I will be ready kuvumilia yote.
Plz nifanyeje?

Kama unataka kuwa na ndoa nzuri onyesha msimamo.

Kama kweli anakupenda, atakuwa tayari kusubiri, vinginevyo wewe mwenyewe ndio unataka ila unatafuta sababu ya kumpa.
 
Follow your heart mrembo, kutoa papuchi au kutotoa haina maana ya kuboresha penzi au kuliharibu, lakini katika dunia ya leo wanaume wengi hata wanawake pia hawako tayari kuuziwa mbuzi kwenye gunia hivyo akili mkichwa usuke au unyoe. Kila la heri kwenye penzi lenu.

Abou sasa mbona unanichanganya mara msinyimane ili kuwa na ulinzi, mara nisimpe nitalizwa.Sasa which z which kakaa?
 
Oh. ..basi usimpe ili ajenge hiyo eagerness.
Labda niulize tu hamkuwahi kujadili kuhusu uzinzi kabla ya ndoa? ! :confused:

Jerrytz ni wapenzi kwani hata ktk tuyafanyayo ni ya wapenzi kasoro hilo la kitandani tu.Nahic usipompa ndo atajenga eagerness ya kuwa mke ili aone pia yaliyomo,na pia ataniona nna msimamo na nnafuata andiko la biblia ipasavyo.
 
nakushauri mpe ili asichepuke make kumnyima mambo hayo unamanisha nini sasa usiwe kama watu wa zamani bana eti mpaka mchunguzane hivi na vile we huoni kama unapendwa??? kukuvumilia miezi miwili unafikiri mchezo?? akipata anajua utamu wa mambo huna nafasi tena hapo we endelea kubania.pia mpe uongeze upendo na ulinzi bana make usipompa atajua una kidume mwingine anaekudinya ndo mana unabana kiivo.lastly, kumbuka wanawake ni wengi sio ww tu ko usichezee iyo shilingi kwenye tundu la choo inaezekana uyo ndo chaguo lako na mkiachana kisa haumpi mambo hutakaa upate tena mtu ingawa utakuwa unajipa hope eti utapata but inaeza kuwa ngumu sna....toa mambo ww....
 
miezi miwili anasubiri mtihani au? du hiyo ilikuwa zamani sio sasa, tunachat j.mosi asubuhi, jioni tunaenda live band, usiku tunaenda vikojoleo band.
 
Ucmpe mwambie akomae tu ikiwezekana akikuoa muwekee na limaoo

Huu ushauri wako......atabakwa.....Moro -Mwanza ni mbali......ulishafikiri hili?.......au ataachwa......nauli ya mwanza nani analipa? Bure tuuu......thamani na ladha ya kiatu lazima mvaaji aijue....umenipata?
 
Japo tulikuwa ktk mahusiano km miez 6 kwnz ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.
Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautam. Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too
Miezi 8.....wote physically fit.....mnapendana........sielewi.....mmoja kati yenu atakuwa au anataka kumfanya mwenzake...nanihiii......Zombie. Utakula za mbavu .....we haya endelea.
 
Inategemea atakchopata kwako najua wewe ni armature shughuli bila shaka sio ya professionali so aki compare na kule alikokopita au akicompare na expectations zake kama anavyosikia kwa wanaume wenzake you will definitely fall short of his std so he will degrade you
LOOH!Ndoa ni mtego....wataka anase kwenye tundu bovu?....akishaolewa wakati ni armature...Mbona humfundishi atamzuiaje....asichepuke? Kheri aoneshe umbumbu wake ....kwa mapenzi ..atapewa lekcha.
 
Mwanaume mwenye nia na wewe HAWEZI kukuacha kwa sababu umekuwa na msimamo wa kutofanya ngono kabla ya ndoa, haijalishi una bikra au huna. Kaeni muongee na kuwekana sawa, hilo swala ni nyeti katika mahusiano, mwambie na hakikisha mmekubaliana.
Japo kwa dunia ya leo...mmmmh! Kama wapenda mandingo, waweza angukia kwenye bamia au vice versa, au ukapata mwenye upungufu wa nguvu...chaguo lako..
 
Kuna kina dada wanalia "Ooooohhh fulani" kaolewa Lakini ni Malaya. Usishangae yakakukuta hayo, ibanie mwisho ikuchachie. Maadili yalishapitwa na wakati.

Sidhani kama maadili yamepitwa na wakati, sema sasa limekuwa la mtu binafsi.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom