Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

kuileta hapa inamaansha umeanza kufikilia kumpa.. msimamo wako ndo nguzo ya maamuz yako mdada..
 
Kama ww sild hukuguswa kweli una haki ya kuomba ushauri ila kama ni member mzuri wa ngon* kipi kinakushtua hapoo???
 
Utaratibu wa kuomba mautamu watu wanautoa wapi?

Wajanja tunatengeneza mazingira, halafu utamu unaupata bila fujo!

Anyway, dont make assumptions. Kama mwanaume anaamini wewe unamfaa hata ukimpa siku ya kwanza ataendelea kukuheshimu tu, labda akutane na mambo ya ajabu ajabu huko kitandani lakini kama ujo fresh haibadili kitu.

Unaweza bana, na akapiga na kusepa vile vile.
 
Hivi ni wanaume tu ndo huwa tunapataga mzuka wa ku-do au wanawake ni wanafiki tu?

Hata usipompa wewe,jua anagegeda somewhere so its up to you.

Wanaume tupo sawa na Bluetooth iliyo On yaani kama Kuna device yoyote around iko on tuna pair up ukitoa ndugu wa damu na wazazi.
 
Hbr wana-Jf?Tayari nipo kwny mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa ktk mahusiano km miez 6 kwnz ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwny harakati za kutaka nikapafahamu kwao Mwanza,tupo Moro wote.
Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautam.Ni busara kweli kumpa na je nisipompa akitafuta kwingine je na kunogewa huko?Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too na hata ikiwa tofauti I will be ready kuvumilia yote.
Plz nifanyeje?

Grow up! kwa dunia ya leo miezi miwili mingi sana, kavumilia sana huyo, mpe nyuche hiyo mle raha! Ingekuwa mimi muda wote huo ningekuwa nshakupiga chini, niko bize na mambo mengine.
 
Hbr wana-Jf?Tayari nipo kwny mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa ktk mahusiano km miez 6 kwnz ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwny harakati za kutaka nikapafahamu kwao Mwanza,tupo Moro wote.
Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautam.Ni busara kweli kumpa na je nisipompa akitafuta kwingine je na kunogewa huko?Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too na hata ikiwa tofauti I will be ready kuvumilia yote.
Plz nifanyeje?

kama mautamu unayo wewe tu duniani usimpe, fikiria chukua hatua.:flame:
 
Ni vizuri na inapendeza kama kila mtu ana kua na misimamo, itikadi na misingi anayoisimamia, kwa mfano sitakunywa pombe, sitakua na mashisiano ya kimapenzi hadi nitakapofunga ndoa, sitajihusisha au kuingia kwenye mahusiano na mtu aliyeko kwenye ndoa, n.k ukishajua unataka nini kwenye maisha na unataka kua mtu wa aina gani, utajitahidi siku zote kuishi hivyo....kama hauwezi kuheshimu au kutii misimamo yako, inamaana utafanya kila kitu kuwafurahisha watu?

Zingatia ushauri wa watu8, wanaotoa ushauri hapa kila mtu ana namna anavyochukulia mambo na ndivyo atakavyokushauri kwa mtazamo huo huo. Fuatilia ushauri kisha changanya na nini msimamo wako kisha fanya maamuzi. Ukishajua nini unathamini, haijalishi nani anasema au anapendekeza nini, cha muhimu ni kitu gani kina manufaa kwangu leo, kesho na huko mbele ya safari.
 
''Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Plz nifanyeje?''
Dada ngono kabla ya ndoa ni suala kuamua na sio kupenda ama kutopenda

Labda nikuulize mambo machache

1. Kwanini unahisi si sahihi kumpa hicho anachotaka?

2. Nini status ya mahusiano yenu? Marafiki? Wapenzi?
 
''Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Plz nifanyeje?''
Dada ngono kabla ya ndoa ni suala kuamua na sio kupenda ama kutopenda

Labda nikuulize mambo machache

1. Kwanini unahisi si sahihi kumpa hicho anachotaka?

2. Nini status ya mahusiano yenu? Marafiki? Wapenzi?

Hbr wana-Jf?Tayari nipo kwny mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa ktk mahusiano km miez 6 kwnz ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwny harakati za kutaka nikapafahamu kwao Mwanza,tupo Moro wote.
Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautam.Ni busara kweli kumpa na je nisipompa akitafuta kwingine je na kunogewa huko?Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too na hata ikiwa tofauti I will be ready kuvumilia yote.
Plz nifanyeje?
 
dada napenda msimamo wako ila naonba nikushaur kitu!! (MANENO YANGU SIYO SHERIA) kuna watu hapa wanaanzisha UZI wakilalamika waume wao hawawezi kazi kunako 6*6!!!

ukijiuliza wamejuana lini, jibu sina!!! lakn chanzo cha matatizo yote hayo ni kutomfahamu vzur mwenzi wako from the scratch hadi mnaona unless uniambie wewe unataka neno ndoa tu na si kile ambacho hata adam na hawa waishindwa kukivumilia!!!

kufaham vzur mpnz wako kuna mengi sana na hilo ni moja wapo! ukumbuke huend kuangalia ukiingia umeingia!!! sasa we subir ndoa, uje ulete mada hapa jogoo anaumwa kila siku!!!! juaneni vzur unawakat mzur wa kuchunguza saiz kuliko ukiingia mama!!!! hata yeye hilo analijua ndo maana anaomba akamilishe engo zote kukufahamu, na unavozid kumbania anajiuliza na unamjengea sababu za kukupa distance
 
we ni bikra? sio eti utunze adi ndoa na akati ushabanjuliiiiiiwa afu ye unambania.......................u will be ready hiyo iangalie sana wanaokuja uku wanalia mume wangu kibamia, mara kipele sijui guu la mtoto mara muhogo usifikiri huwa hawajafikiria kuvumili kabla ya hapo
 
Jerrytz ni wapenzi kwani hata ktk tuyafanyayo ni ya wapenzi kasoro hilo la kitandani tu.Nahic usipompa ndo atajenga eagerness ya kuwa mke ili aone pia yaliyomo,na pia ataniona nna msimamo na nnafuata andiko la biblia ipasavyo.
 
Hbr wana-Jf?Tayari nipo kwny mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa ktk mahusiano km miez 6 kwnz ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwny harakati za kutaka nikapafahamu kwao Mwanza,tupo Moro wote.
Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautam.Ni busara kweli kumpa na je nisipompa akitafuta kwingine je na kunogewa huko?Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too na hata ikiwa tofauti I will be ready kuvumilia yote.
Plz nifanyeje?
Mpe kabisa 0713. Tumechoka sasa
 
Ukimpa tu yanatokea haya, kwanza.. Unashuka thamani kwake sasa hivi your very precious.... Siku ukimpa jinsi alivyokuwa anakuothamini inatoweka....
Kama anakupenda kweli kweli hata ukimnyima miaka 2 still haendi popote...
Pili.. Inategemea atakchopata kwako najua wewe ni armature shughuli bila shaka sio ya professionali so aki compare na kule alikokopita au akicompare na expectations zake kama anavyosikia kwa wanaume wenzake you will definitely fall short of his std so he will degrade you
So usimpe hadi mfunge ndoa deside uzinzi ni dhambi mbaya sana... Mwenyezi hapendi hata kidogo ndio maana ndoa nyingi leo zimegeuka laana badala ya mbaraka

Sasa bora ampe sasa ivi ili alinganishe ladha kama ulivosema alafu amshushe now au amnyime alafu aje ampe ndoani alafu amshushee wakiwa ndani ya ndoa....?ushauri wako kwa ulichopoint unamadhara baadae
 
whaaaaaat!??? miezi miwili.... imekua visa hiyo, unafatilia all that time!!! kuna wanaume wanamioyo ya chuma asee

Mimi ndani ya miezi 2 inawezekana nikawa nimeshamtema achilia mbali kugonga papuchi..! Afu hakuna wanawake rahisi kuwapata kama walioenda shule provided na wewe shule ipo. Sasa mtu kavumilia miezi 8 ( 6 ya probation na 2 ya relationship ) papuchi apewi afu unaomba ushaur..ovyooo
 
Kama mahusiano yenu niya kaka na dada nyimaneni ila kama mahusiano yenu niya wapenz peaneni maana ndo kinachowaunganisha...
 
Omurwanga badooo cjampa,anakuja kunitembelea Ijum na tutoke kdg sasa ndo najipanga kumpa au lah

wewe dada mpe tu acha uchoyo mbona wengine uliwapa? Mapenz hayana formula unaweza ukamkatalia afu baadae unakuja na uz wa mumeo ana kibamia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom