Tunaambiwa makusanyo ni makubwa, mianya ya wizi imedhibitiwa ikiwa na utoroshaji wa fedha nje. Lakini mbona thamani ya fedha yetu haiboreki zaidi ya kudidimia ingawa sio kwa kasi lakini ni polepole.
Tarehe 10/11/2015
View attachment 366171
Leo hii tarehe 14/7/2016
View attachment 366173
??????Taratiiiiibu sindano ikishakuingia vxr utapona tu
Hahaa....yaani hapo maana yake nikutoka hela ya Tz kwenda hizo hela zote (from-to) sio mpk iandikweMbona sioni hela ya Tanzania hapo kwenye ambatanisho
Sawa mkuuHahaa....yaani hapo maana yake nikutoka hela ya Tz kwenda hizo hela zote (from-to) sio mpk iandikwe
Mapato kuongezeka up to trilion 1+ si ndio dalili kuwa kazi inafanyika na kodi inakusanywa? Sasa mbona hakuna juhudi za stability katika fedha yetu?Fanya kazi ndio hali itatengemaa hakuna jinsi. Kuzidi kusubiri kwa muujiza utazidi kuumia tu. Simple
Ukiongelea suala la stability ya pesa yetu stability tangu aingie JPM kuna kueleweka. Ungekuwa mtumiaji wa pesa za nje ungelijua hili na husingefananisha kipindi cha nyuma na sasa. Kwa taarifa yako angalia kwa mwaka wote 2014-15 July tu pesa ilikuwaje awali na ilafika wapi ndio utapata picha na kujua pesa inayodondoka inakuwaje. Ila kwa sasa shukuru mafanikio unayoyaona. Kuna hatua kubwa sana.Mapato kuongezeka up to trilion 1+ si ndio dalili kuwa kazi inafanyika na kodi inakusanywa? Sasa mbona hakuna juhudi za stability katika fedha yetu?