Miezi 8 ya utawala, mbona hali haitengemai?

Miezi 8 ya utawala, mbona hali haitengemai?

Utakuwa ni miongoni wa wale waliozoea "Hela za Bure Bure". Pole sana.
Samahani lakini, utakuwa ni mmoja ya watu ambao hawana akili kabisa. Mie nauliza kwa nini exchange rate haibadiliki muda wote huo wewe unaniambia habari ya kupata hela za bure?
Haya wewe unaepata hela halali tuonyeshe rate unayotumia ukihitaji dola
 
Alisema itatengemaa baada ya miezi mingapi au huwa inatakiwa itengemae baada ya muda gani. Nini vigezo vya kutengemaa au kutotengemaa?
 
Samahani lakini, utakuwa ni mmoja ya watu ambao hawana akili kabisa. Mie nauliza kwa nini exchange rate haibadiliki muda wote huo wewe unaniambia habari ya kupata hela za bure?
Haya wewe unaepata hela halali tuonyeshe rate unayotumia ukihitaji dola
Utaelewa tu muda wako ukifika. Wewe mwenye akili zimekusaidia nini kama hata kuchanganua "forex index" kumekushinda! !!!!!? Bozo
 
Utaelewa tu muda wako ukifika. Wewe mwenye akili zimekusaidia nini kama hata kuchanganua "forex index" kumekushinda! !!!!!? Bozo
Asante, ila hapa umeonyesha unaandika usichojua
 
Tunaambiwa makusanyo ni makubwa, mianya ya wizi imedhibitiwa ikiwa na utoroshaji wa fedha nje. Lakini mbona thamani ya fedha yetu haiboreki zaidi ya kudidimia ingawa sio kwa kasi lakini ni polepole.
Tarehe 10/11/2015
View attachment 366171
Leo hii tarehe 14/7/2016
View attachment 366173
Huoni mabadiliko? Kabla ya uchaguzi sukari ilikuwa sh 1700/=sasa hivi ni sh 3200 hayo huoni ni maendeleo?
 
Na Rais mustafa Mkapa amsaidie sana Rais mpya achane na Burundi hapo mfumuko wa bei utaisha.
 
Fanya kazi ndio hali itatengemaa hakuna jinsi. Kuzidi kusubiri kwa muujiza utazidi kuumia tu. Simple
Kazi zipo?
Umchinga uufanyie wapi?
Hela na mtaji wa kununua shamba itoke wapi/
Mtaji wa biashara utoke wapi?
BOT,TRA,NSSF,PPF,PSPF nk utajiriwaje na Baba yako sio M-NEC?
"Fanya kazi,fanya kazi" Kazi gani?
 
Sidhan kama
Ukiongelea suala la stability ya pesa yetu stability tangu aingie JPM kuna kueleweka. Ungekuwa mtumiaji wa pesa za nje ungelijua hili na husingefananisha kipindi cha nyuma na sasa. Kwa taarifa yako angalia kwa mwaka wote 2014-15 July tu pesa ilikuwaje awali na ilafika wapi ndio utapata picha na kujua pesa inayodondoka inakuwaje. Ila kwa sasa shukuru mafanikio unayoyaona. Kuna hatua kubwa sana.
Sidhan kama ww ni mtumaji wa pesa nje. Pesa imeanza kupanda mwaka jana mwez
kama huu, sababu za kupanda ilikua ni uchaguz watu walikua hawajui nn kingetokea, hvyo wakaondoa pesa katka mzunguko wakitegemea baada ya uchaguz hali itakaa sawa watazirudisha.

Ilikua 1600 ikaja 1800 mpka sasa 2200 na ushee.
Lakn ndio kwanzza vitisho vimezd kwa matajiri!! Mara mm rais wa maskn wasiojua hata dolla ni nn, kilimo chenyewe wanalima hata wao hakiwatoshi!! Ngoja tusubir muujiza!!
 
Nadhani tukubaliane tuu kuwa tumeshindwa mpambano huu wa kuanguka kwa shilingi
 
Sidhan kama

Sidhan kama ww ni mtumaji wa pesa nje. Pesa imeanza kupanda mwaka jana mwez
kama huu, sababu za kupanda ilikua ni uchaguz watu walikua hawajui nn kingetokea, hvyo wakaondoa pesa katka mzunguko wakitegemea baada ya uchaguz hali itakaa sawa watazirudisha.

Ilikua 1600 ikaja 1800 mpka sasa 2200 na ushee.
Lakn ndio kwanzza vitisho vimezd kwa matajiri!! Mara mm rais wa maskn wasiojua hata dolla ni nn, kilimo chenyewe wanalima hata wao hakiwatoshi!! Ngoja tusubir muujiza!!

dola ilikuwa 1600 mwezi wa nane 2014 na ndio ilipoanza kupanda. Taarifa unazoongea ni siasa za mitandaoni lkn tuliobadili pesa na tunatumia nakuadhirika na pesa kuanguka tukiwa nje na kufaidika kudroo pesa nyingi tukija TZ tunajua when inflation has started.
 
mimi hapa nawaza kuacha kazi leo nimepokea barua ya bodi ya mikopo naanza kukatwa mwezi huu 8%,,ukiangalia ni kama 9k,,sijui imekokotolewaje wakati ada ilikua laki nane miaka mitatu,,,nikiangalia nina mkopo wa bank,,nina makato ya paye,,nina makato ya tuico,,,hapa kweli sioni tena mwanga mbele inabidi nistaafu tu kabla ya umri wa ppf,,,nisaidieni jaman,,,
Duniani hakuna haki na wala haitakuwepo,ukiacha kazi ujue hata ukija mtaani utalipa kodi, labda kama una pesa nyingi ambazo utakula wewe na vizazi vyako bila kazi mpaka kufa hapo sawa, ila kama utafanya biashara mambo ni yale yale. Hakuna nafuu wala hakuna unachokikimbia.
 
Back
Top Bottom