Miezi 8 ya utawala, mbona hali haitengemai?

Mimi nimeiona na naiona kazi nzuri anayoifanya mheshimiwa rais Magufuli pamoja na viongozi wengine wa serikali ya awamu hii ya tano. Ndugu zangu, nchi hii ni kubwa sana, kwa hiyo huwezi kuhisi mabadiliko ndani ya kipindi hiki kifupi. Huwezi kupanda mazao leo ukatarajia kuvuna mazao hayo kesho. Mimi nadhani hiki ni kipindi kifupi tu cha mpito, natabiri kutokea mabadiliko chanya makubwa katika nyanja za uchumi, huduma za jamii, miundombinu nk.
 
Wewe uliye iona hiyo upo mkoa gani wa hapa tanzania kwenye unafuu wa maisha?
 
Kazi zipo?
Umchinga uufanyie wapi?
Hela na mtaji wa kununua shamba itoke wapi/
Mtaji wa biashara utoke wapi?
BOT,TRA,NSSF,PPF,PSPF nk utajiriwaje na Baba yako sio M-NEC?
"Fanya kazi,fanya kazi" Kazi gani?
Swali zuri sana kwa wana wa lumumba
 
Wewe utakua ni mcheza kamari. Mnapenda papo kwa hapo.
Kabla serikali yenu haijaingia madarakani mlikuta sukari kilo moja inauzwa sh 1700/=mkaona tunafaidi mkaamua kuizuia na hatimae kuipandisha bei leo hii tunanunua kilo moja sh 3000!
 
Muda si mrefu tunazipiku china na marekani kiuchumi.....vumilieni kidogo

Ovaa
 
Kabla serikali yenu haijaingia madarakani mlikuta sukari kilo moja inauzwa sh 1700/=mkaona tunafaidi mkaamua kuizuia na hatimae kuipandisha bei leo hii tunanunua kilo moja sh 3000!
Issue ya sugar ni outdated mjomba Mmawia
 
Nchi hii mjomba kila sehemu ni nyumbani tu hata Dom ni home pia au we kwenu dar japo ni msandawi
 
Back
Top Bottom