Miezi 8 ya utawala, mbona hali haitengemai?

Mbona sioni hela ya Tanzania hapo kwenye ambatanisho
 
Mliambiwa vumilieni kidogo mambo mazuri yanakuja-sululu
 
Fanya kazi ndio hali itatengemaa hakuna jinsi. Kuzidi kusubiri kwa muujiza utazidi kuumia tu. Simple
 
Subira yavuta heri.....

Ila kiukweli country side hali ndo mbaya zaidi..........Tutafika ila kwa shida....miaka 4 kufanya mabadiliko ni kazi kidogo...ila tutembelee imani tu

Nakupenda Tanzania....Napenda watu wake........
 
Fanya kazi ndio hali itatengemaa hakuna jinsi. Kuzidi kusubiri kwa muujiza utazidi kuumia tu. Simple
Mapato kuongezeka up to trilion 1+ si ndio dalili kuwa kazi inafanyika na kodi inakusanywa? Sasa mbona hakuna juhudi za stability katika fedha yetu?
 
Mapato kuongezeka up to trilion 1+ si ndio dalili kuwa kazi inafanyika na kodi inakusanywa? Sasa mbona hakuna juhudi za stability katika fedha yetu?
Ukiongelea suala la stability ya pesa yetu stability tangu aingie JPM kuna kueleweka. Ungekuwa mtumiaji wa pesa za nje ungelijua hili na husingefananisha kipindi cha nyuma na sasa. Kwa taarifa yako angalia kwa mwaka wote 2014-15 July tu pesa ilikuwaje awali na ilafika wapi ndio utapata picha na kujua pesa inayodondoka inakuwaje. Ila kwa sasa shukuru mafanikio unayoyaona. Kuna hatua kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…