Miezi 8 bila Hayati Magufuli; Alikuwa alama, utambulisho, kielelezo na mwakilishi wa Watanzania

Hakika Taifa, Afrika na Dunia nzima itamkumbuka huyu mzalendo wa kweli na shujaa wa Afrika.Ilikuwa zawadi ya pekee kutoka kwa Mungu.
 
MIEZI NANE BILA JPM;RAIS MAGUFULI, ALAMA,UTAMBULISHO,KIELELEZO NA MWAKILISHI WA WATANZANIA.

Leo 10:35hrs 17/11/2021

Nianze kwa Ushauri,na huu ndio ushauri wangu;Pamoja na Uzalendo uliopitiliza aliokuwa nao Rais Magufuli,pamoja na roho ngumu aliyokuwa nayo kuisimamia Tanzania irudi kwenye mstari,pamoja na akili kubwa(Intelligence) aliyokuwa nayo,Uwezo na Utambuzi wa tatizo na kulitolea suluhisho,Kujitoa kwake sadaka kwa ajili ya taifa la Tanzania kurudi kwenye mstari mnyoofu,tuliona akisema najitoa sadaka kwa ajili ya Taifa la Tanzania msifikiri sina damu,alimaanisha msifikiri siogopi kufa na pamoja na ujinga wake na uwendawazimu mwingi aliokuwa nao kama ambavyo watu wanamsema baada ya kufariki kwake,

Uwendawazimu huo ulikuwa ni kufuatilia kila jambo "neck to neck" kusimamia kila jambo bila kulala wala kwenda nje ya nchi,kunyoosha kila palipopinda,kuiangusha ile miungu watu,Mafisadi,Wahuni,Miungu watu iliyokuwa inawaibia Watanzania,na kula keki yao ya Taifa peke yao kamwe hawakumpenda,daima walikesha kumhujumu na kumuundia zengwe,Wakaishia kumuita mjinga na mwendawazimu, lakini ni ujinga wake na huo Uwendawazimu uliifanya IMF na World Bank kuitangaza Tanzania kuwa ni nchi yenye Uchumi wa kati na kuitoa Tanzania kwenye nchi masikini,huu ndio Ujinga na Uwendawazimu wa JPM wenye faida kwa Watanzania,kuna msemo unasema "Ujinga na Uwendawazimu wa Mungu ni hekima na busara kwa binadamu", Rais Magufuli hata sasa ni alama,Utambulisho,kielelezo na mwakilishi wa Watanzania,

Figisu dhidi ya bwawa la Nyerere na miradi mingine haitamuacha mtu yeyote salama,msifikiri kutokamilika kwa SGR kutamuacha mtu salama,Ukimtukana Rais Magufuli unawatukana Watanzania,Rais Magufuli ndiye Rais aliyechaguliwa na Watanzania kwa kura nyingi kuliko Rais yeyote toka Tanzania ipate Uhuru,Rais Magufuli alichaguliwa kwa 84% ya kura zote,bado watu wanamkosea heshima Rais huyu,Naamini dunia inashangaa sana,Msifikiri kumtukana Rais Magufuli akiwa hayupo kutamuacha mtu salama,

My brothers and Sisters "Wenye nchi yao", ambao ni wajumbe "wema" are watching and monitoring,kwa maneno mengine Watanzania wanamchukulia Rais Magufuli kama "Litmus Test",A measuring stick",Fimbo ya kupimia mafuta kwenye gari,Kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wamtakae,Rais Magufuli aliibeba mioyo ya Watanzania na kuongea nayo,Rais Magufuli alikuwa na connection na Watanzania,Rais Magufuli alikuwa na unganiko na Watanzania kwenye mioyo yao,ni vigumu kumtoa Rais Magufuli kwenye mioyo ya Watanzania,lolote baya dhidi ya Rais Magufuli ni kutonesha kovu ambalo halijapona la kifo cha Rais Magufuli,

Ushahidi tuliona wa Mama watu wazima wakiruka fensi ya Uwanja wa Taifa kwenda kuaga mwili wa Rais Magufuli,Niliona Mzee mmoja akiwa pembeni ya Uwanja kashika nguzo akilia kwa uchungu,mwandishi alipomfuata kumpa pole akasema "Magufuli ameondoka ila Magufuli ni Chuo,yupo Samia,yupo Kassim, yupo Kabudi,yupo Mwinyi,yupo Jaffo,yupo Mpango wote hawa wamesoma Chuo Cha Magufuli" tuliona Umati mkubwa wa watu uliojitokeza kusindikiza mwili wa Rais Magufuli kila mahali ulipopita,je Mungu alituma malaika wake,na wale hawakuwa Watanzania!!? wako wapi watu wale waliokimbia kilomita tisa kuusindikiza mwili wa Rais Magufuli,hili ndilo swali wanalopaswa kujiuliza wale wote wanaomkosea heshima Rais Magufuli,

Kama waliosindikiza mwili wa Rais Magufuli walikuwa ni watu na kukimbia zaidi ya kilomita tisa basi sidhani kama umati ule wa Watanzania utajitokeza tena kwa mtu mwingine yeyote, sababu Watanzania watasema tulifanya hivi kwa moyo wa dhati kwa mtu tuliyempenda matokeo yake baada ya maziko wakaanza kumtukana, tuliona tunatukanwa sisi maana yeye hayupo tena,tumevunja utamaduni wa Mtanzania,Rais Magufuli aliongea na mioyo ya Watanzania kwa lugha yao na kila Mtanzania alipoisikia sauti ya Rais Magufuli,moyo wake uliambatana na Moyo wa Rais Magufuli na kusikia ile sauti ikitoka ndani yake yeye Mtanzania,hasa mnyonge,Kindly thank me later kwa Ushauri wangu.

Nimalizie kwa maono ya wajumbe ambayo hayakuvunjika hadi yakatimia,"Wenye nchi yao" "Wajumbe"baada ya kuona taifa linalegalega,waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe Taifa kwenye reli, tafsiri yangu ya Uwendawazimu kama nilivyoeleza,hata "Uwendawazimu na Ujinga wa Mungu kwa mwanadamu ni hekima na busara" Kwa ustadi mkubwa sana Wazalendo "Wenye nchi yao" walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate na ana ulinzi mkali sana,Hatimaye, JPM akawa President.

Rais Magufuli aliwekwa pale kwa ajili ya kusimamia kwa dhati,nguvu, na kwa kutumia kila aina ya njia,utekelezaji wa mipango mingi ya kwenye makabati,Hii ni mifano ya miradi ya nchi ambayo ilikuwa kwenye makabati, siyo ya JPM ni ya Watanzania na Taifa la Tanzania na yenye faida maana imefungamana na national interests including national security.

1. Serikali kuhamia Dodoma,huu mpango ulikuwa kwenye kabati kwa miaka 50 kila Awamu ilikosa budget ya kutekeleza mradi huu lakini Rais Magufuli alipoingia alielekeza budget kuelekea Dodoma,liwalo na liwe,mpango ulioshindikana kwa miaka 50 ukatekelezeka,na Serikali ikahamia rasmi Dodoma,Mwaka 2017.

2.Jeshi na taasisi za kiusalama kuhamia Dodoma plus serikali kuwa Dodoma.

3.Utekelezwaji wa mradi wa reli ya SGR.

4.Utekelezwaji wa mradi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere.

5. Ndege, meli, bandari, na miundombinu mingine mingi mikubwa.

6. Mapambano ya kisayansi ya ufisadi na masuala ya usalama wa taifa.

Hii miradi ilianzishwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na imetekelezwa na Hayati Rais John Pombe Magufuli,Mungu wangu akubariki,Mbingu na Ardhi zikukumbuke,Pumzika kwa Amani Rais John Pombe Magufuli.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effects of micro-financing on Poverty Reduction.
UNGEANDIKA MIEZI NANE YA BILA WATU KUPOTEA AU KUFA KIAJABU AJABU.
 
Yaani bila Magufuli. Serikali imerudi kama ilivyokuwa 2015.Season ya michongo hii kwa kina Kinana. Tembo watapingua tena.
 
Hapa mie sisemi kitu!! ila mleta mada Katukosea sana!!! sisi wana JF!! Kusema eti tuli/tuna tukana?? mwee?? yeye Jiwe mbona aliwasema watu hadharani? ikawa ndo slogan yake!! na sisi tunasema!! eti kosa! mweee! sisi ma Idealists tuna tukana kweli???

Sasa wewe mleta mada ndo umetukana!! hii statement yako imgeuke iwe yake mleta mada, tena akome kutubebesha mjitabia wa baba yake alio utumia na ndo ivo mifuasi ya dikteta Dunia yote ilivo au

Aombe Msamaha Wa dhati! hadharani!! vinginevyo afungiwe tu huyu kuja humu JF! kusema Mambo ya ukweli yaliyo jiri siyo tusi!! mleta mada kumbuka Mungu aliposema namnukuu ''Kwa maana mshahara wa Dhambi ni mauti bali ................alikuwa hatanii!!

Jiwe alijua dhambi zake ila sababu ya kiburi cha uzima! na kulewa sifa za watu km mleta Mada akasahahu kutubu!! na walimsahaurisha maksudi asitubu!

Mungu alidhamilia tujifunze sisi wanadamu!! sasa huyuJiwe bila shaka alikuwa anaenda kanisani kushinda tu! ili apoteze muda! na kufanya show off! wewe mleta mada pia!!! subiri tu kutumikia adhabu km ya babako jiwe!
 
MIEZI NANE BILA JPM;RAIS MAGUFULI, ALAMA,UTAMBULISHO,KIELELEZO NA MWAKILISHI WA WATANZANIA.

Leo 10:35hrs 17/11/2021

Nianze kwa Ushauri,na huu ndio ushauri wangu;Pamoja na Uzalendo uliopitiliza aliokuwa nao Rais Magufuli,pamoja na roho ngumu aliyokuwa nayo kuisimamia Tanzania irudi kwenye mstari,pamoja na akili kubwa(Intelligence) aliyokuwa nayo,Uwezo na Utambuzi wa tatizo na kulitolea suluhisho,Kujitoa kwake sadaka kwa ajili ya taifa la Tanzania kurudi kwenye mstari mnyoofu,tuliona akisema najitoa sadaka kwa ajili ya Taifa la Tanzania msifikiri sina damu,alimaanisha msifikiri siogopi kufa na pamoja na ujinga wake na uwendawazimu mwingi aliokuwa nao kama ambavyo watu wanamsema baada ya kufariki kwake,

Uwendawazimu huo ulikuwa ni kufuatilia kila jambo "neck to neck" kusimamia kila jambo bila kulala wala kwenda nje ya nchi,kunyoosha kila palipopinda,kuiangusha ile miungu watu,Mafisadi,Wahuni,Miungu watu iliyokuwa inawaibia Watanzania,na kula keki yao ya Taifa peke yao kamwe hawakumpenda,daima walikesha kumhujumu na kumuundia zengwe,Wakaishia kumuita mjinga na mwendawazimu, lakini ni ujinga wake na huo Uwendawazimu uliifanya IMF na World Bank kuitangaza Tanzania kuwa ni nchi yenye Uchumi wa kati na kuitoa Tanzania kwenye nchi masikini,huu ndio Ujinga na Uwendawazimu wa JPM wenye faida kwa Watanzania,kuna msemo unasema "Ujinga na Uwendawazimu wa Mungu ni hekima na busara kwa binadamu", Rais Magufuli hata sasa ni alama,Utambulisho,kielelezo na mwakilishi wa Watanzania,

Figisu dhidi ya bwawa la Nyerere na miradi mingine haitamuacha mtu yeyote salama,msifikiri kutokamilika kwa SGR kutamuacha mtu salama,Ukimtukana Rais Magufuli unawatukana Watanzania,Rais Magufuli ndiye Rais aliyechaguliwa na Watanzania kwa kura nyingi kuliko Rais yeyote toka Tanzania ipate Uhuru,Rais Magufuli alichaguliwa kwa 84% ya kura zote,bado watu wanamkosea heshima Rais huyu,Naamini dunia inashangaa sana,Msifikiri kumtukana Rais Magufuli akiwa hayupo kutamuacha mtu salama,

My brothers and Sisters "Wenye nchi yao", ambao ni wajumbe "wema" are watching and monitoring,kwa maneno mengine Watanzania wanamchukulia Rais Magufuli kama "Litmus Test",A measuring stick",Fimbo ya kupimia mafuta kwenye gari,Kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wamtakae,Rais Magufuli aliibeba mioyo ya Watanzania na kuongea nayo,Rais Magufuli alikuwa na connection na Watanzania,Rais Magufuli alikuwa na unganiko na Watanzania kwenye mioyo yao,ni vigumu kumtoa Rais Magufuli kwenye mioyo ya Watanzania,lolote baya dhidi ya Rais Magufuli ni kutonesha kovu ambalo halijapona la kifo cha Rais Magufuli,

Ushahidi tuliona wa Mama watu wazima wakiruka fensi ya Uwanja wa Taifa kwenda kuaga mwili wa Rais Magufuli,Niliona Mzee mmoja akiwa pembeni ya Uwanja kashika nguzo akilia kwa uchungu,mwandishi alipomfuata kumpa pole akasema "Magufuli ameondoka ila Magufuli ni Chuo,yupo Samia,yupo Kassim, yupo Kabudi,yupo Mwinyi,yupo Jaffo,yupo Mpango wote hawa wamesoma Chuo Cha Magufuli" tuliona Umati mkubwa wa watu uliojitokeza kusindikiza mwili wa Rais Magufuli kila mahali ulipopita,je Mungu alituma malaika wake,na wale hawakuwa Watanzania!!? wako wapi watu wale waliokimbia kilomita tisa kuusindikiza mwili wa Rais Magufuli,hili ndilo swali wanalopaswa kujiuliza wale wote wanaomkosea heshima Rais Magufuli,

Kama waliosindikiza mwili wa Rais Magufuli walikuwa ni watu na kukimbia zaidi ya kilomita tisa basi sidhani kama umati ule wa Watanzania utajitokeza tena kwa mtu mwingine yeyote, sababu Watanzania watasema tulifanya hivi kwa moyo wa dhati kwa mtu tuliyempenda matokeo yake baada ya maziko wakaanza kumtukana, tuliona tunatukanwa sisi maana yeye hayupo tena,tumevunja utamaduni wa Mtanzania,Rais Magufuli aliongea na mioyo ya Watanzania kwa lugha yao na kila Mtanzania alipoisikia sauti ya Rais Magufuli,moyo wake uliambatana na Moyo wa Rais Magufuli na kusikia ile sauti ikitoka ndani yake yeye Mtanzania,hasa mnyonge,Kindly thank me later kwa Ushauri wangu.

Nimalizie kwa maono ya wajumbe ambayo hayakuvunjika hadi yakatimia,"Wenye nchi yao" "Wajumbe"baada ya kuona taifa linalegalega,waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe Taifa kwenye reli, tafsiri yangu ya Uwendawazimu kama nilivyoeleza,hata "Uwendawazimu na Ujinga wa Mungu kwa mwanadamu ni hekima na busara" Kwa ustadi mkubwa sana Wazalendo "Wenye nchi yao" walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate na ana ulinzi mkali sana,Hatimaye, JPM akawa President.

Rais Magufuli aliwekwa pale kwa ajili ya kusimamia kwa dhati,nguvu, na kwa kutumia kila aina ya njia,utekelezaji wa mipango mingi ya kwenye makabati,Hii ni mifano ya miradi ya nchi ambayo ilikuwa kwenye makabati, siyo ya JPM ni ya Watanzania na Taifa la Tanzania na yenye faida maana imefungamana na national interests including national security.

1. Serikali kuhamia Dodoma,huu mpango ulikuwa kwenye kabati kwa miaka 50 kila Awamu ilikosa budget ya kutekeleza mradi huu lakini Rais Magufuli alipoingia alielekeza budget kuelekea Dodoma,liwalo na liwe,mpango ulioshindikana kwa miaka 50 ukatekelezeka,na Serikali ikahamia rasmi Dodoma,Mwaka 2017.

2.Jeshi na taasisi za kiusalama kuhamia Dodoma plus serikali kuwa Dodoma.

3.Utekelezwaji wa mradi wa reli ya SGR.

4.Utekelezwaji wa mradi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere.

5. Ndege, meli, bandari, na miundombinu mingine mingi mikubwa.

6. Mapambano ya kisayansi ya ufisadi na masuala ya usalama wa taifa.

Hii miradi ilianzishwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na imetekelezwa na Hayati Rais John Pombe Magufuli,Mungu wangu akubariki,Mbingu na Ardhi zikukumbuke,Pumzika kwa Amani Rais John Pombe Magufuli.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effects of micro-financing on Poverty Reduction.
Wanachama NSSF wamekudharau na kukupuuza
 
Leo tarehe ngapi vile?
Hebu rudia kusoma na urekebishe ulichoandika maana wengine huwa tunasoma kila kitu kabla ya comment wengine nao huwa wanasoma anasemwa nani ndio wa comment
 
Stupid, tunamtaka Ben Saanane. Tunamtaka Azory. Maiti za kwenye sandarusi coco beach Ni za Watanzania wenzetu Ni akina Nani. Stupid, acha ujinga wa miradi, miradi mbele ya roho za watu? Nonsense
Stupid square! Hizo maiti walishakuja ndugu zao wakasema ni watu wao? Shenzi kabisaa msiokuwa na akil maskin wakubwaa..nyani kabisaa..mtaishia na umaskini wenu kila kukichaa..bwegeee..
 
Maiti hata uiwekee perfume itanuka tu. Magufuli mtahangaika sana kimpamba kwa threads nyingi lakini atabakia kuwa ni RAIS wa HOVYO tu ambaye Tanzania imewahi kumpata.

Magufuli miaka 5 kaua Ben Saanane, Azory Gwanda na wakazi wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji zaidi ya 300. Mwezi Desemba 2020 kaua Wapemba zaidi ya 10.

Magufuli alikuwa mwizi, mwongo, mbaguzi wa kikabila na kikanda, muumini wa Shetani na mwishowe ni TAKATAKA tu
unaweza kukuta mtaani kwako wanakuheshimu kinoma mwanangu,ukiwa nyuma ya keyboard unabadilika sana.
 
MIEZI NANE BILA JPM;RAIS MAGUFULI, ALAMA,UTAMBULISHO,KIELELEZO NA MWAKILISHI WA WATANZANIA.

Leo 10:35hrs 17/11/2021

Nianze kwa Ushauri,na huu ndio ushauri wangu;Pamoja na Uzalendo uliopitiliza aliokuwa nao Rais Magufuli,pamoja na roho ngumu aliyokuwa nayo kuisimamia Tanzania irudi kwenye mstari,pamoja na akili kubwa(Intelligence) aliyokuwa nayo,Uwezo na Utambuzi wa tatizo na kulitolea suluhisho,Kujitoa kwake sadaka kwa ajili ya taifa la Tanzania kurudi kwenye mstari mnyoofu,tuliona akisema najitoa sadaka kwa ajili ya Taifa la Tanzania msifikiri sina damu,alimaanisha msifikiri siogopi kufa na pamoja na ujinga wake na uwendawazimu mwingi aliokuwa nao kama ambavyo watu wanamsema baada ya kufariki kwake,

Uwendawazimu huo ulikuwa ni kufuatilia kila jambo "neck to neck" kusimamia kila jambo bila kulala wala kwenda nje ya nchi,kunyoosha kila palipopinda,kuiangusha ile miungu watu,Mafisadi,Wahuni,Miungu watu iliyokuwa inawaibia Watanzania,na kula keki yao ya Taifa peke yao kamwe hawakumpenda,daima walikesha kumhujumu na kumuundia zengwe,Wakaishia kumuita mjinga na mwendawazimu, lakini ni ujinga wake na huo Uwendawazimu uliifanya IMF na World Bank kuitangaza Tanzania kuwa ni nchi yenye Uchumi wa kati na kuitoa Tanzania kwenye nchi masikini,huu ndio Ujinga na Uwendawazimu wa JPM wenye faida kwa Watanzania,kuna msemo unasema "Ujinga na Uwendawazimu wa Mungu ni hekima na busara kwa binadamu", Rais Magufuli hata sasa ni alama,Utambulisho,kielelezo na mwakilishi wa Watanzania,

Figisu dhidi ya bwawa la Nyerere na miradi mingine haitamuacha mtu yeyote salama,msifikiri kutokamilika kwa SGR kutamuacha mtu salama,Ukimtukana Rais Magufuli unawatukana Watanzania,Rais Magufuli ndiye Rais aliyechaguliwa na Watanzania kwa kura nyingi kuliko Rais yeyote toka Tanzania ipate Uhuru,Rais Magufuli alichaguliwa kwa 84% ya kura zote,bado watu wanamkosea heshima Rais huyu,Naamini dunia inashangaa sana,Msifikiri kumtukana Rais Magufuli akiwa hayupo kutamuacha mtu salama,

My brothers and Sisters "Wenye nchi yao", ambao ni wajumbe "wema" are watching and monitoring,kwa maneno mengine Watanzania wanamchukulia Rais Magufuli kama "Litmus Test",A measuring stick",Fimbo ya kupimia mafuta kwenye gari,Kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wamtakae,Rais Magufuli aliibeba mioyo ya Watanzania na kuongea nayo,Rais Magufuli alikuwa na connection na Watanzania,Rais Magufuli alikuwa na unganiko na Watanzania kwenye mioyo yao,ni vigumu kumtoa Rais Magufuli kwenye mioyo ya Watanzania,lolote baya dhidi ya Rais Magufuli ni kutonesha kovu ambalo halijapona la kifo cha Rais Magufuli,

Ushahidi tuliona wa Mama watu wazima wakiruka fensi ya Uwanja wa Taifa kwenda kuaga mwili wa Rais Magufuli,Niliona Mzee mmoja akiwa pembeni ya Uwanja kashika nguzo akilia kwa uchungu,mwandishi alipomfuata kumpa pole akasema "Magufuli ameondoka ila Magufuli ni Chuo,yupo Samia,yupo Kassim, yupo Kabudi,yupo Mwinyi,yupo Jaffo,yupo Mpango wote hawa wamesoma Chuo Cha Magufuli" tuliona Umati mkubwa wa watu uliojitokeza kusindikiza mwili wa Rais Magufuli kila mahali ulipopita,je Mungu alituma malaika wake,na wale hawakuwa Watanzania!!? wako wapi watu wale waliokimbia kilomita tisa kuusindikiza mwili wa Rais Magufuli,hili ndilo swali wanalopaswa kujiuliza wale wote wanaomkosea heshima Rais Magufuli,

Kama waliosindikiza mwili wa Rais Magufuli walikuwa ni watu na kukimbia zaidi ya kilomita tisa basi sidhani kama umati ule wa Watanzania utajitokeza tena kwa mtu mwingine yeyote, sababu Watanzania watasema tulifanya hivi kwa moyo wa dhati kwa mtu tuliyempenda matokeo yake baada ya maziko wakaanza kumtukana, tuliona tunatukanwa sisi maana yeye hayupo tena,tumevunja utamaduni wa Mtanzania,Rais Magufuli aliongea na mioyo ya Watanzania kwa lugha yao na kila Mtanzania alipoisikia sauti ya Rais Magufuli,moyo wake uliambatana na Moyo wa Rais Magufuli na kusikia ile sauti ikitoka ndani yake yeye Mtanzania,hasa mnyonge,Kindly thank me later kwa Ushauri wangu.

Nimalizie kwa maono ya wajumbe ambayo hayakuvunjika hadi yakatimia,"Wenye nchi yao" "Wajumbe"baada ya kuona taifa linalegalega,waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe Taifa kwenye reli, tafsiri yangu ya Uwendawazimu kama nilivyoeleza,hata "Uwendawazimu na Ujinga wa Mungu kwa mwanadamu ni hekima na busara" Kwa ustadi mkubwa sana Wazalendo "Wenye nchi yao" walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate na ana ulinzi mkali sana,Hatimaye, JPM akawa President.

Rais Magufuli aliwekwa pale kwa ajili ya kusimamia kwa dhati,nguvu, na kwa kutumia kila aina ya njia,utekelezaji wa mipango mingi ya kwenye makabati,Hii ni mifano ya miradi ya nchi ambayo ilikuwa kwenye makabati, siyo ya JPM ni ya Watanzania na Taifa la Tanzania na yenye faida maana imefungamana na national interests including national security.

1. Serikali kuhamia Dodoma,huu mpango ulikuwa kwenye kabati kwa miaka 50 kila Awamu ilikosa budget ya kutekeleza mradi huu lakini Rais Magufuli alipoingia alielekeza budget kuelekea Dodoma,liwalo na liwe,mpango ulioshindikana kwa miaka 50 ukatekelezeka,na Serikali ikahamia rasmi Dodoma,Mwaka 2017.

2.Jeshi na taasisi za kiusalama kuhamia Dodoma plus serikali kuwa Dodoma.

3.Utekelezwaji wa mradi wa reli ya SGR.

4.Utekelezwaji wa mradi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere.

5. Ndege, meli, bandari, na miundombinu mingine mingi mikubwa.

6. Mapambano ya kisayansi ya ufisadi na masuala ya usalama wa taifa.

Hii miradi ilianzishwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na imetekelezwa na Hayati Rais John Pombe Magufuli,Mungu wangu akubariki,Mbingu na Ardhi zikukumbuke,Pumzika kwa Amani Rais John Pombe Magufuli.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effects of micro-financing on Poverty Reduction.

Mabaki ya Sukuma Gang
 
Stupid, tunamtaka Ben Saanane. Tunamtaka Azory. Maiti za kwenye sandarusi coco beach Ni za Watanzania wenzetu Ni akina Nani. Stupid, acha ujinga wa miradi, miradi mbele ya roho za watu? Nonsense
Kuna wananchi 6 wameuawa kule mbogwe kwa kuvamiwa kwenye migodi yao na mbunge ametoa kilio kikubwa sana bungeni. Kwani bado rais ni JPM....
 
Damu ya maelfu ya watu wliokukufa kwa Uviko 19 sababu ya maamuzi yake ya hovyo kukataa chanjo , barakoa nk itamshughulikia huko alipo
R. I. P Balozi Kijazi na lilokuwa jopo la kuwaapisha watu
 
Kweli huwezi kupendwa na wote Roho huwa inaniuma nikiona huyo baba anatukanwa jamani
 
Pumbafu kabisa wewe! Unajua watanzania wangapi walikufa kwa ubovu wa miundombinu?? Au nao sio watu? Hao wanasiasa wako uchwara ndio watu pekee? Unajua umasikini unatesa kiasi gani wananchi? Unajua wangapi wamekufa kwa kukosa dawa mahospitalini? Unadhani hao sio watu?
Nonsense boya kabisa miundombinu na kuuwawa ni sawa ficha hii comment yako watoto wako watajua ulivyomjinga na ndugu zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom