Mie nilidhani Mbowe tu ndio halipi kodi, kumbe hata Manji

Mie nilidhani Mbowe tu ndio halipi kodi, kumbe hata Manji

Tz bwana, yaani iliundwa task force na media campaign kubwa kuwafurusha 'wadaiwa sugu' wa NHC lakini sikuwahi kusikia mpangaji mwingine akitolewa vyombo nje zaidi ya Mbowe!
 
Kuna kipindi mzee Mengi alipick fight na Manji kuhusu ufisadi, sijui kesi yao iliishiaje.

Sasa hii ya Trillion moja ni ishu. Ndio ule msemo CCM ishakutumia ................
 
Kuna kipindi mzee Mengi alipick fight na Manji kuhusu ufisadi, sijui kesi yao iliishiaje.

Sasa hii ya Trillion moja ni ishu. Ndio ule msemo CCM ishakutumia ................
Mkuu we acha tu...haya maCCM ni janga la kitaifa.
 
Ila Bado yupo na anacheza faulo kama Kawaida...angekuwa upinzani SawA wangeharibia,Bado manji ana watu Ccm ambao wako kaenye payroll yake

OVA
Katulizwa kwenye Coco beach aliponunua kihalali, kapigwa mpka kaamua kununua gazeti la Jambo leo kupingana na serikali wewe unasema nini, na bado atashughulikiwa kwa mujibu wa sharia, washirika wake kibiashara akiwepo rais mstaafu mmoja wanafahamu hili. Ngoja uone, kama ana madhambi na manyangunyangu yake yote yatashughulikiwa. Hivi rais anaaposema watu wanaficha hela na kuwaahidi kuwashughulikia wewe unafikiri anawazungumzi akina nani?
 
Hii mizombie ya CCM isiyolipa kodi ndiyo inalifilisi taifa hili. MaCCM ni zaidi ya magaidi.
Tatizo lako hujui Tanzania ina chama kimoja kwa majina tofauti wewe uliona nchi gani ina wanasiasa wengi wanazunguka katika vyama kama Tanzania? mtu akiwa conservative ni vigumu kuwa m liberal kirahisi. Kingunge maisha yake yote alikua mkomunist lakini leo ati ni conservative akili inakujia kweli? Hivi viini macho vinawaponza wanasiasa wachanga kama kina Lema wataendelea kunyea debe
 
Manji is untouchable Tanzania hii ya awamu ya 5. Unabisha, lets wait and see. Muda utaongea.
 
Nimeshtushwa na taarifa kuwa mfanyabiashara mkubwa na Diwani wa Mbagala CCM na Mwenyekiti wa Klabu bingwa ya soka Tanzania na mmliki wa Quality Group Mh. Yusuf Manji nae halipi kodi. Tunakuomba Diwani Manji hebu lipa hiyo Trilioni 1 unayodaiwa ili nchi ipige hatua kimaendeleo.
====================
Mahakama Kuu kitengo cha Ardhi Dar Es Salaam imemuru kampuni ya Quality Group inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji na wenzake kuondoka kwenye jengo la Quality Plaza na kulipa kodi ya pango wanayodaiwa tangu mwaka 2007 hadi sasa
Fedha hizo zitalipwa kwa mlalamikiwa wa kwanza kwenye kesi hiyo, kampuni ya Image Properties and Estate ambayo ni wakala wa mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unaomiliki jengo hilo
Uamuzi huo ulitolewa jana na msajili wa mahakama hiyo Frank Mahimbali kwa niaba ya jaji John Mgetta katika kesi mbalimbali zilizofunguliwa na Kampuni ya Quality Group kupinga kulipa kodi ya jengo hilo
Kesi hizo zilitokana na mdai Quality Group kukimbilia mahakamani kila alipokuwa akipelekewa notisin ya kuhama katika jengo hilo na na mlalamikiwa wake, Kampuni ya Image Properties and Estate
Msajili wa hizo amesema kesi ya iliyotolewa hukumu ni ya mwaka pamoja na kutaja kesi ya msingi ya mwaka 2009 ambayo ilitolewa hukumu
Aidha mahakama iliamuru PSPF kulipa mlalamikaji namba moja , Quality Group shilingi milioni 100 kama hasara ya jumla iliyopata kampuni hiyo baada ya kuzuiliwa kuhamisha vitu vyake ndani ya ofisi hizo
ngoja nione sasa lile igizo la mh. pombe. alisema AWE CHADEMA.. AWE CCM.. AWE NANI.. FUKUZA ATOKE AKALIPE.
Sasa tuone na yeye DIWANI WA CCM MBAGALA akiburuzwa Nnje kama alivoburuzwa nnje yule bwana mkubwa wa CHADEMA
 
ngoja nione sasa lile igizo la mh. pombe. alisema AWE CHADEMA.. AWE CCM.. AWE NANI.. FUKUZA ATOKE AKALIPE.
Sasa tuone na yeye DIWANI WA CCM MBAGALA akiburuzwa Nnje kama alivoburuzwa nnje yule bwana mkubwa wa CHADEMA
Ndio maana kesi ya miaka mingi leo hadi wanamtoa kwq nguvu. Hakuna mchezo na Yono kishapewa kazi
 
CCM si mlimkumbatia agaist mengi ktk sera za ukanda na udini, mkaimba mengi ndie alipi kodi,sasa mnakula matapishi,sio manji,bakhresa, Diallo etc wote wameanikwa ,mnaowatamani hawapo.
 
Back
Top Bottom