mie najitakia mwaka mpya nawe jitakie

mie najitakia mwaka mpya nawe jitakie

Najitakia mafanikio Mema mimi na marafiki zangu wooooote
Nalog off
 
nami najitakia mwaka mpya mwema wenye mafanikio tele na
pia sitawasahau marafiki zangu wote wa humu mjengoni
 
Nashukuru kwa salamu zako Slave, nakutakia kheri ya mwaka mpya pia na hope huu mwaka utakua one of your best.

Pamoja Saana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom