Mie mgeni sijui kitu humu ndani

Mie mgeni sijui kitu humu ndani

Benominja

New Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
4
Reaction score
1
Jaman mie mgeni nmependa sana jamii forum lakn i dont knw how thing are carried out here jaman can some one help me!!!!!
 
Karibu sana JF.hapa bana ni sehemu ya kutoa madukuduku yote uliyonao moyoni yawe ya kisiasa kiuchumi kimaisha vyovyote vile. Ukiwa hapa utapata fursa ya kuchangia mada mbalimbali. Lakini pia ukiwa hapa ukae kwa adabu na uheshimu wenzako. Pitia Jamii Forums Rule upate mwanga zaidi.
 
Karibu sana jukwaani,Soma Jf rules na Mungu atakuongoza,usikurupukekurupe!
 
kama hujui unafata nini hapa,utasapot jukwaa lipi?;la mapenzi?
 
Kama haujui kwanini weye unachezea koki??utalowa buree!!
 
Kama haujui kitu, nenda kajifunze then urudi.
 
Back
Top Bottom