mie mgeni humu.................

mie mgeni humu.................

Taribo

Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
89
Reaction score
85
mambo vp wana my name is joddy jordan Bezalell aka(taribo) NI mgeni wenu humu so tutakuwa pamoko...ok wananiita taribo tangu nipo shule coz nlikuwa beki mzuri wakati tunasoma na nlikuwa napa chaki cha kijani kichwani ili nifanane na taribo west...kwa wale mnaojua au kupenda mpira mtakuwa mmeshamjua Taribo west alikuwa beki wa nigeria...pamoja rrrraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhh!:lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
Dah! What an introduction Taribo.... Way to Go...


Karibu saaana
 
Jukwaa la spoti linakuhusu sana. Karibu sana jamvini!
 
Come on in the door is open.
barn-door-is-open-dan-reynolds.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom