Midege ya jeshi inayozunguka angani

Midege ya jeshi inayozunguka angani

maendeleo hayo, sisi kwetu ilipita helicopter ya mbowe tukahis tumevamiwa
 
ni upimbafu na kuleta kulwta kero mjin si waende porin, mbwa hawa
 
ni upimbafu na kuleta kulwta kero mjin si waende porin, mbwa hawa
jifunze kuheshimu wenzio mbona wewe ile issue yako kuliwa 0713 mtungo na kina side b, nigga y na wenzake sisi tumekustil dada au tuimwage tuweke hadhalani jina na picha yako harisi ili mmeo ajue afu achukue uamuzi sahihi! acha dhalau mbwa jike wewe kikojozi
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa
Kabla ya kupata jibu hilo kwanza unapswa ujibu hili-; Jee muda unaoupoteza kuuliza masuali ambayo haya tija wa kuelimisha unafaida gani?
 
Unahoji nini unafikiri M23, Tuliwapiga kwa kucheza pool.
 
jifunze kuheshimu wenzio mbona wewe ile issue yako kuliwa 0713 mtungo na kina side b, nigga y na wenzake sisi tumekustil dada au tuimwage tuweke na jina lako harisi ili mmeo ajue afu uamuzi sahihi! acha dhalau mbwa jike wewe

Duuu,jf ukidhan unajua wenzio wanafahamu punguza hasira mkuu,by the way jana nilikuwa maeneo ya mtaa wa msimbaz mida ya tatu asubuhi lilipita mzee nakadhani kuna ghorofa limeporomoka,good move km wajeda wa kibongo wanayarusha basi technology advancement tunakula nayo sambamba.
 
mwana huyu bitch anaker sana atawatukanaje wanaotulinda afu anabahati mbaya nnamfahamu huyu demu vizuri alikua anauza K.... ambiance bar palejirani na kona katokea jamaa moja kaweka ndani ila hajuiskendo zake wacha aedelee na dharau zake tumchne vizr bitch mchafu anaejiita MissM4C bullshiiiiiit yy kaliwa 0713 na wala msuba wa makumbusho tunastili tu mbwa jike huyu
 
ni upimbafu na kuleta kulwta kero mjin si waende porin, mbwa hawa

basi ngoja ninyamaze tu kutokana na umri wangu ..yani kwa kifupi umenikera sana hustahili kuwa member hapa jf
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa

nijibu kwanza hili swali,hiv kunoa panga la nyumban kwako kunafaida!!?
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa

Get it ndege hazijatengenezwa kupark kwenye mahanga...they are designed to fly. If I may ask how often do you see them flying?
 
vita gain ya kupigana namadege sasa hivi? Adui was taifa la Tz ni ujinga ,umaskini,rushwa iliyokithiri na viongozi kusaini mikataba yenye kufilisi nchi yetu . kurusha ndege ni kupotosha malengo kama ni mazoezi waende porini . kama wanavyofanya US mazoezi wanafanyia kwenye jangwa la Nevada.
Huku kwetu jangwa la nevada liko wapi, tumieni akiri kidogo ktk kujadili mada, sio kila kitu mnataka tufanane na marekani. Hivi kwa akiri yako unazani Marekani ni karba yetu sisi, kwanini usitaje Kenya, Uganda, Zambia, DRC, Msumbiji na nchi tunazo fanana nazo.
 
MiG 21, CHENGDU 19, RAPTOR F-Series, Sukhoi 30MKI... 😛lane:

Safi Sana Tanzania Airforce Army
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa

Sasa mkuu iyo kodi si imetolewaa ili itumikee na uko ndokutumika kwake uko au ulitaka iyo kodi ikaaee tuu haina ajaa wachaa wapashee mazoezi kidogo na wakumbushee waraiyaa kuwaa the day is coming?
Sawaa wee mchagaa?
 
ni upimbafu na kuleta kulwta kero mjin si waende porin, mbwa hawa

we ni moja kati ya mizigo kwa familia yako,kazini na taifa kwa ujumla,kama unadiliki kuandika huo upuuzi basi nina was was na uelewa wako.na lazima utakuwa mwanamke maana mwanaume hawezi andika hiv.pili nna waswas na elim yako na nnahisi unaishi kwa ndugu japo unamiaka 30+,tofaut ya hapo nisamehe nikisema wewe ni mj.i.n.g.a na mp.u.m.b.a.v.u
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzani

Ningekushauri tu kuwa kwa hizi hoja unazo post humu unaigharimu sana j/f kwa kuwabania wenye hoja
 
ni upimbafu na kuleta kulwta kero mjin si waende porin, mbwa hawa

acheni kuwa critic wa kila jambo mbaya zaidi hata ktk fani zisizowahusu mpaka mnakera!! ingawa iko wazi kuwa gari imekata brake na hiyo mambo si shwari
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa

Ungekuwa mkinga,mpare au mchaga nisingechangia huu uzi,lakini kwakuwa huna asili ya ubahiri,basi ngoja niseme neno hapa

Jezi sio sawa na sungu sungu,kwamba lazima atembee kwa miguu,jeshi linahitaji zana za kisasa ikiwemo matumizi ya ndege,tumezungukwa na malawi pamoja na na rwanda,mda wowote kinaweza tokea chochote,so maandaliz lazima
 
Back
Top Bottom