Midege ya jeshi inayozunguka angani

Midege ya jeshi inayozunguka angani

Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa
Mie nasikitika tunazo chache. Squadron ni ndege 12 kutengeneza V inayo onekana vizuri kwa maonyesho ya kijeshi na hata kwa shambulizi la nguvu kwa muda mfupi.
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa
Wee vipi? Hizo si ndege za vita zinafanya mazoezi!..Sasa bila mazoezi ikitokea vita itakuaje? Halafu iko shereshe 9 dec,kwani kwa akili yako huoni ni mazoezi kwa maonesho ya siku hiyo?
 
Mjumbe ulichokichunguza kina mantiki, shida ni ulivyojenga hoja!! Nadhani ungeuliza kama majaribio ya hizi ndege ni hadi kipindi cha sikukuu? Na je kama sivyo, kipindi kingine huwa zinajaribiwa wapi na kwa nini sasa zisijaribiwe huko ambako huwa zinajaribiwa (kama una hoja ya kutojaribiwa hapo pa sasa)?
 
wabongo sasa mmezidi shobo. kila kitu mnapiga kelele.
 
heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa

Watu kama nyie msio na uzarendo dawa yenu ni kuwang'oa meno na kucha bila ganzi.
 
tatizo unatumia ------ kufikiri,unadhan kila jambo linalofanyika lazima uone faida zake moja kwamoja,kaa na uzezeta wako,ivoivo
 
mkuu inabidi ziwezinawashwa na kurushwa mara kwa mara ili tuwe na uhakika kuwa ni nzima!au we unasubiri tukiwa tunataka kuzitumia ndo tuzi test!!!
Hivi wale jamaa wanaomiliki bastora wanazijaribu wapi kuona km zitaganya kazi wkt wa tukio? Au ndo maana mnasema ile ya ditopile ilifyatuka yenyewe?
 
Bas jaman kashajua kakosea muoneeni huruma hamuoni hawajibu.. Tuendeleeni na mengine. Ila na wewe Mshomba uwe unafikiri kabla ya kuandika.
 
Acha ww, yaani hawa majamaa siku izi wamejaziana vitambi na m.a.t.a.k.o utadhani mabarmedi. Ngoja angalau wawe wanawarusha hewani mara moja moja. Afu naomba JK aongeze kama 1000 hivi kule Congo, Afrika ya kati (kule kwenye waasi) pia 1000, kule Somalia 1000, Sudan 1000, Irak 500, Afaghastan 500. Naamini akili zitawarudi wakibaki salama watakapo kuwa wanarudi na miili zao zitakuwa kama za vijana wa Obama (Ftat and Giant).
 
we ni mwehu,we unadhani jeshi mpaka liuze wananchi ama bunge lipitishe kila kitu,?? kwa hiyo ulitaja wafanyeje mbona unapenda kulia lia umackini??,.ulitaka 9 december iweje?,kwamba bila mazoez ziruke tu?,mawazo duni
 
Kwani na hili linahitaji kupigiwa kura na watanzania ili lipate ridhaa?
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa
UAE.jpg
UAE 2.jpg
Tembeena muone dunia ilivyo na watu wanavyoheshimu na kupenda siku ya uhuru wao au wengine huiita siku hiyo siku ya taifa(National day). Tatizo kubwa la watanzania kujidai wapinzani wa kila kitu na kukosa uzalendo, wanafikiri kuwa mpinzani ndiyo uzalendo wenyewe huo.Mwishowe mtajikataa wenyewe. You seem to be in a confusion of identity of who you are!:A S-confused1::disapointed:
 
Hii nchi ya maajabu sana kila mtu mjuaji,,,na ujuaji wao unaanzia kwa kujifanya wana uchungu sana na kodi wa wananchi.!!!!mpe sasa nafasi uone madudu??!!
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa
 
Hivi wewe unadhani Jamii Forum ni ukurasa wa wapumbavu. Una elimu gani kuhusu taratibu za urukaji wa ndege za jeshi? Kuona ndege za jeshi zinaruka unakurupuka eti mafuta kodi ya wananchi inatumika vibaya. Unajua hiyo ndege imenunuliwa na kodi hiyohiyo ya wananchi au kwa upeo wako mdogo ukajua jeshi limenunua ndege ili lichezee mafuta ya wananchi? Haya mambo sio ya kukurupuka kwenye mitandao kama hii unajiandikia tu. Kumbuka hii nchi inalindwa na wanajeshi mpaka wewe unapata jeuri ya kuongea madudu yako humu. Ndege za jeahi la wananchi katika anga hili la watanzania zitaruka mahala popote pale na wakati wowote ule na hii no katoka kutekeleza majukumu yake kipindi cha amani ili kurahisisha mapambano kipindi cha Vita.
 
Wanazishtua wewe dogo betri zisife chaji hamna watu wa kuzisukuma betri zikifa acha ushamba
 
Muoneeni huruma msimfany e abadili avatara yake nayeye aanze kujiponda kwa kutoa pumba kama hizo.
 
Hivi wewe unadhani Jamii Forum ni ukurasa wa wapumbavu. Una elimu gani kuhusu taratibu za urukaji wa ndege za jeshi? Kuona ndege za jeshi zinaruka unakurupuka eti mafuta kodi ya wananchi inatumika vibaya. Unajua hiyo ndege imenunuliwa na kodi hiyohiyo ya wananchi au kwa upeo wako mdogo ukajua jeshi limenunua ndege ili lichezee mafuta ya wananchi? Haya mambo sio ya kukurupuka kwenye mitandao kama hii unajiandikia tu. Kumbuka hii nchi inalindwa na wanajeshi mpaka wewe unapata jeuri ya kuongea madudu yako humu. Ndege za jeahi la wananchi katika anga hili la watanzania zitaruka mahala popote pale na wakati wowote ule na hii no katoka kutekeleza majukumu yake kipindi cha amani ili kurahisisha mapambano kipindi cha Vita.
Jina lenyewe msh(a)mba halafu unataraji nini Hassan
 
Ukistaajabu ya mussa utayapata ya firauni.....na huyu kweli firauni,msameheni jamani...!?
 
Back
Top Bottom