Midege ya jeshi inayozunguka angani

Midege ya jeshi inayozunguka angani

Mi binafsi nimependa zilivyopita.. Suala la kodi hapo sio point kwa sababu lazima zirushwe either kwa mazoezi au kwa maonyesho siku ya uhuru.
 
Hii na nayo kama ni siasa basi tunaenda kubaya, mbona magari ya jeshi yanatembezwa hujaleta mada hapa, ndege vita nayo ni mashine inahitaji kupashwa moto.
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa
Embu tupia CV yako then tutakua huru kuchangia!
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa

Tarehe 9 Deacember kumbuka... au wewe sio m-Tanzania?? uhuru wa Tanganyika
 
Mmh na wewe mkuda! Hizo gharama kwan wanatoa mfukoni kwako? Unajua hata juzi Ukimwi day zilitumika gharama nyingi hukuhoji tuu au sababu madege yaapiga kelele? Wanapasha wakijiandaa na Uhuru day na kagame. Tanzania ni nchi ya Projects hapo watu washatunisha wallets zao.
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa

Tusiwe Na jeshi kabisa basi Ili tubane matumizi, au wanajeshi wetu watumie mapanga! Zana za kijeshi mazoezi Ni lazima, ondoa siasa za kijinga.
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa
Mkuu ni bora ziruke time 2 time... kulikoni !! Hii techno. mitambo ya anga ni lazima kuwa katika hali ya mzunguko.. Laa sivyo ukarabati wake utagharimu zaidi ya bei walonunulia !!
 
Marekani ilikua imefunga baadhi ya idara kwa kusubiria bajeti .sisi wafanyakazi wengine hawajapewa chao tare 33 sasa tunarusha ndege ahahahahah BRN

Like mkuu, maneno mazito haya!
 
Siyo bure, hizo ni tusker baridi zinaongea! Kwani kila kitu lazima picha?
Picha ndio Habari ya Mujini! Ndege-ya-Jeshi.jpg Ndege ya CCM hiyoooo...
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa

Kwa hiyo wewe ulitaka wafanye mazoezi lini hasa? Wakati wa vita...au?
 
Mi binafsi nimependa zilivyopita.. Suala la kodi hapo sio point kwa sababu lazima zirushwe either kwa mazoezi au kwa maonyesho siku ya uhuru.

Kwani ameambiwa kuna extra budget kwajili ya zile ndege kufanya mazoezi? mbona udadisi mwingine ni wa kitoto jamani? umeambiwa wizara ya ulinzi imeongezewa budget wanachokifanya kipo ndani ya utaratibu wao na budget ndio ileile iliyopitishwa bungeni jamani tuache ushabiki usio na tija katika Taifa.
 
Mmh na wewe mkuda! Hizo gharama kwan wanatoa mfukoni kwako? Unajua hata juzi Ukimwi day zilitumika gharama nyingi hukuhoji tuu au sababu madege yaapiga kelele? Wanapasha wakijiandaa na Uhuru day na kagame. Tanzania ni nchi ya Projects hapo watu washatunisha wallets zao.

mmh jamani...umeanza vizuri hoja mwishoni utumbooo. hivi nyie watanzania mtu huwezi kuongelea jambo muhimu bila kunyunyizia na umbea? yaani uwezi kabisa?
 
Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa

ni lazima ziruke....otherwise zitalala na siku likitokea la mgambo zitakua haziwaki na kuruka hivyo ni muhimu kuruka japo siku ya uhuru
 
Back
Top Bottom