Microsoft yazindua Windows 7 katika Kiswahili

Microsoft yazindua Windows 7 katika Kiswahili

Tena niulize, kuna tofauti gani baina ya Kiswahili kinachotumika katika pwani ya Kenya (ambacho ndio standard ya lugha inayotumiwa katika Windows 7 na pia katika wavuti zinginezo) na Kiswahili cha Tz?
 
Nadhani tatizo kubwa linalokumba jitihada za kueneza kiswahili ni uvumi baina ya waTz ambao hufikiria ya kwamba Kiswahili chao ndicho chapaswa kuigwa na wengine. This is as ridiculous as Americans telling the British to use the American English version na waache kusema tyres, lorries, boot, bitumen n.k. na waanze kutimia majina kama vile tires, trucks, trunk na asphalt. Si huo ni upumbavu?

Ukweli ni kuwa matumizi ya lugha yanalingana na muktadha ambao lugha inatumika na kutakuwa na tofauti ya msamiati unaotumiwa katika kiswahili chenu na cha huko Kenya. There are some words I have heard being used in your version that I have never heard in the Kenyan version (ok, most I get from Bongo flava songs. Mitungi, blanti mikasii--these are completely unknown in Kenya--although I suspect they are slang words).

Nadhani my point was that your first reaction should have been to celebrate that Microsoft appear to appreciate the importance of Swahili in this part of the world, which should be a good thing, no matter which version has been used. If anything, it means that it's actually possible to sell the idea to Microsoft of having some of your translators contribute to a TZ version iliyo na "Kiswahili fasaha"

Kupanuka kwa lugha ya Kiswahili ni tofauti na mfano uliotoa ya Amerian-English na English-English. Usisahau vile vile kuna variants nyingi tu tofauti za English ambazo zinazungumzwa Caribbean, Nigeria, hata hapa East Africa, etc.

Kuna Kiswahili fasaha na chimbuko lake ni Tanzania. Achana na Kiswahili cha slang, hiyo ni different topic. Wacongo wakisema “kutumika kazi” badala ya “kufanya kazi” hiyo ni dialect yao na ni sawa kuitumia lakini si Kiswahili fasaha. Kwa hiyo wao wacongo wakishiriki kwenye project ya nje inayohusisha Kiswahili bila kuhusisha wataaman wanaojua Kiswahili ambao wengi wako Tanzania hilo litakuwa ni kosa na ishara ya ubinafsi kwao. Nimeoma kwenye electronic media dictionaries tofauti za Kiswahili na tafsiri zilizofanywa na wakenya na zinatia aibu sababu zina makosa mengi ya wazi wazi ya ufasaha. Huwa najiuliza ni kwa nini huyo aliyehusika hakufanya jitihada kwasiliana na wataalamu ya hiyo lugha kufanya clarification?

Hata waingereza wenyewe ndani na uingereza yao wana dialects nyingi tu lakini kuna version ambayo inajulikana kwamba ndio standard English. Nadhani sina haja tena na kurudia umuhimu wa wakenya kushirikiana na watanzania wakati wanashiriki kwenye projects kama hizi. Uamuzi wa Microsoft kujumuisha Kiswahili kwenye software zake ni mzuri na unastahili pongezi.
 
Jamani tusibweteke... Sisi WaTz hatuko active. Wenzetu Wakenya akili yao imechangamka sana. Wanatafuta opportunities na wanakubalika. Ni wachapakazi kwa kweli. Nenda kwenye ofisi zao ulinganishe na Tz. Au nenda Barclays Kenya ulinganishe na Barclays Tz. Yaani hizi nchi mbili zimeachana sana tukubali tusikubali. Mimi huwa nazifananisha na dini fulani kubwa duniani.
 
Nimejaribu hiyo window 7 kwa kiswahili.....mambo ni magumu sana jamani...tuambiene ukweli.
Ni magumu sana...nilikuwa nafanya installation...kufika kwenye language nikaweka swahili.Kuwa
mtukutu..nikaenda mpaka mwisho...bana...kuanza matumizi..kwa kweli..imeniwia vigumu..vitu vingi
nilivyo jifunza kwenye IT nimejifunza kwa kiingereza...sasa leo naletewa kwa kiswahili..

Nianavyo kwanza teminology zote ambazo ziko kwenye window seven kwa kiswahili..hatujajifunza..
basi pawepo na IT team ambayo inashughulikia kuanza kuwaelewesha watu..mambo yale kwa kiswahili.
vinginevyo production itakuwa chini .... kama watu si kwenda kwa kuangalia Icon tu unabonyesha..unatukia
uzoefu,.
 
Jamani tusibweteke... Sisi WaTz hatuko active. Wenzetu Wakenya akili yao imechangamka sana. Wanatafuta opportunities na wanakubalika. Ni wachapakazi kwa kweli. Nenda kwenye ofisi zao ulinganishe na Tz. Au nenda Barclays Kenya ulinganishe na Barclays Tz. Yaani hizi nchi mbili zimeachana sana tukubali tusikubali. Mimi huwa nazifananisha na dini fulani kubwa duniani. Tubadirike.

Nakubalia na wewe kwamba kuna tofauti fulani kwenye entrepreneurship kati ya wakenya na watanzania lakini tusichanganye hii issue na attitude ya manipulation. Mlima Kilimanjaro uko Tanzania lakini hadi sasa kuna baadhi wanatangaza uko Kenya hiyo ni manipulation, au kwa lugha nyingine utapeli si entrepreneurship. Kutafuta fedha kwa udi na uvumba hata kwa utapeli kwa tikei ya entrepreneurship kama wanigeria wanavyofanya mimi sikubalani nako. Watanzania tuna culture yetu ya kuheshimiana na kupendana kama ndugu ambayo Kenya hawana na hii lazima tuidumishe na kui cherish. Tuna maadili kama ndugu si kurafuta fedha tu. Hapa duniani cha muhimu si fedha tu.
 
Mimi sijawahi kutana na mtu yeyote anayesisitiza kuwa Mlima kilimanjaro umo Kenya. Hata kwa curriculum yetu nakumbuka tulifunzwa hivyo. Lakini yafaa pia historia izingatiwe. Huu mlima ulikuwa Kenya na ulikabithiwa Tz na Wazungu waliotawala Kenya siku za jadi. Labda kuna wale watu hughadhabishwa na hatua hio lakini mimi sioni kwa nini hii issue hukera waTz wengi jinsi hii. I've never seen a serious marketer claiming that the mountain is actually in Kenya, although I can contemplate a tour operator including kilimanjaro as part of a tour package. What is wrong with that? for as long as anyone who goes there and pay relevant fees to Authorities, this shouldn't be an issue. Too many care about such minor issues it worries me.
 
Ni kweli mkuu, sisi twaishi kwa kupendana na kuheshimiana na hizo tabia tulizonazo zilikuwa za kijamaa. Lakini dunia imebadirika. Na sisi Tanzania na dunia kwa jumla hatuamini tena katika Ujamaa. Suala la Mt. Kilimanjaro ni upuuzi wetu tu. Tena ni ushenzi uliotukuka. Tumefanya nini kujitangaza kwamba Mt. Kilimanjaro ipo Tanzania? Wenye mahoteli Arusha na Kilimanjaro nao wameshindwa kuutangaza wakati wanaona serikali imelala. Tena sasa waKenya wanasema Mt. Kilimanjaro ipo Tz ila yaonekana vizuri tokea kwao. Tungetaka kuutumia kwa manufaa yetu wala hawataweza kufanya manipulation zozote. Wametuona sisi mabwege, tunachezea shilingi chooni. Wanachofanya hicho si kigeni katika biashara. Nimekuwa naenda sana kwa hawa jamaa kama wengine wetu wafanyavyo. Mtanzania akiwa katika kundi la hawa jamaa utamtambua tu, wao wana haraka, wanajua waendako. Wanatembea haraka. Hawazubai zubai njiani. Na hizo ndio attitude ambazo kwa ulimwengu wa sasa hazihitajiki na pia zinatuangusha hata katikasoko la ajira. Tuko slow kwa kila kitu, kufikiri, kutenda, ku lobby, yaani we acha tu.
 
Ni kweli nakubaliana na wewe hatuamini tena kwenye ujamaa lakini tuna maadili wanayotuunganisha kama taifa kwamba utu una umuhimu si fedha tu. Kama tutaanza kuwa ma entrepreneur na kutembea haraka bila kuzubaa halafu tukaanza kuchukiana kama wao wanavyochukiana sidhani kama hiyo inasaidia. Ni kweli wao ni ma entrepreneur lakini hawana utu. Ukinipa free trip either Nairobi au Kampala nitakwenda Kampala. Waganda nao ni ma entrepreneur labda zaidi ya wakenya lakini wana utu kuliko wakenya.
 
nadhani wangeweka versions..yani ken na tz version maana hawa ndo wamiliki wakuu wa kiswahili
nilijaribu kutumia simu yenye OS ya kiswahili nikashindwa kabisa kuoanisha maneno,labda wangelaunch Beta ili watu waitathmin na kuwapa feedback..ni mtazamo tu
 
Kiswahili Language <> Swahili Language

Windows 8? or Windows 7? Kiswahili mbona kinakuwa hatua moja nyuma?
 
Hehehe. Its probably because the translators were based there. By the way, I have also seen people from Tz criticizing Facebook (swahili version) and Swahili Gmail eti kuwa kiswahili kinachotumiwa kwa mitandao hio ni cha kiKenya. Labda jambo muhimu ni kuwa na taasisi inayosimamia lugha katika nchi zote za Afrika mashariki ili ku-standardize Swahili.

I am sure we will hear of similar complaints from Windows 7. But I think its a good start. I am not sure i works with Office 2007 so I will probably not download it at the moment

Mkuu ni kweli kiswahili hakijakaa vizuri, kwa nini Africa Mashariki amshirikiani na kuandika kiswahili fasaha, kiswahili chenu kiko mangled kabisa i.e akieleweki - tatizo lenu ni kujifanya kuwahi hata kwenye vitu ambavyo amuvielewi vizuri, kwa nini msiwachukue wenyeji wa Mombasa au Taveta waka-refine kiswahili cha kutumika kwenye ICT kama mnaona Watanzania watawazibia msijulikane, maana sioni sababu nyingine ya kukurupuka kuleta half cooked swahili zaidi ya kutaka sifa hata pale ambapo hazihitajiki - Je tukilalamika kwa Bill Gates kwamba kiswahili kilichotumika hakifahi mtatulahumu au mnafikili Gates hawezi kutusikiliza!

Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na taasisi ya kiswahili kwa ajili ya East Africa nadhani makao makuu yalikuwa Nairobi - vitabu vilivyo kuwa vina andikwa na wataalamu wa kiswahili wa Africa Mashariki vilikuwa na kiswahili kizuri kabisa, Mzee Kenyatta alikuwa anajua kuongea kiswahili kwa ufasaha, Barozi wenu nchini Tanzania anazungumza kiswahili safi sana - sina uhakika walio tumika kutafasiri apps hizi wana kiwango gani cha ujuzi wa kiswahili cha kuongea na kuandika!
 
nadhani wangeweka versions..yani ken na tz version maana hawa ndo wamiliki wakuu wa kiswahili
nilijaribu kutumia simu yenye OS ya kiswahili nikashindwa kabisa kuoanisha maneno,labda wangelaunch Beta ili watu waitathmin na kuwapa feedback..ni mtazamo tu

Spot on mkuu, yaani walio husika katika project hii nadhani walikuwa wanalinganisha maneno kutoka kamusi ya kingereza na kiswahili, hawana ujuzi wowote na kiswahili fasaha, yaani ni mambo ya ku-copy na ku-paste tu basi.

Mimi nafikili Bill Gates alikuwa-ill advised katika project hii nzima, angepaswa kuelezwa kwamba kuna tofauti ya uzungumzaji/kuandika kiswahili kati ya nchi hizi mbili, na watu wa Africa Mashariki na Kati upendelea kujifunza/kuzungumza kiswahili cha upande gani?

Tanzania na Kenya Wangeshauriwa kushirikiana katika kutafasiri, alafu walete Beta version ili watu watoe maoni yao na marekebisho alafu baadae ndio itolewe version ya mwisho kwa matumizi baada ya kufanyiwa marekebisho. Kama hiyo ingeshindikana basi kila nchi ingepewa jukumu la kuwa na tafsiri yake in beta form ili ziletwe na kujadiliwa na watumiaji wote wa kiswahili in East and Central Africa alafu baadae wachague iliyo tafasilwa vizuri/eleweka kirahisi kwa watumiaji wengi, bila ya kufanya hivyo kutatokea mkanganyiko husio wa lazima. Haya ni maoni yangu.
 
Mimi sijawahi kutana na mtu yeyote anayesisitiza kuwa Mlima kilimanjaro umo Kenya. Hata kwa curriculum yetu nakumbuka tulifunzwa hivyo. Lakini yafaa pia historia izingatiwe. Huu mlima ulikuwa Kenya na ulikabithiwa Tz na Wazungu waliotawala Kenya siku za jadi. Labda kuna wale watu hughadhabishwa na hatua hio lakini mimi sioni kwa nini hii issue hukera waTz wengi jinsi hii. I've never seen a serious marketer claiming that the mountain is actually in Kenya, although I can contemplate a tour operator including kilimanjaro as part of a tour package. What is wrong with that? for as long as anyone who goes there and pay relevant fees to Authorities, this shouldn't be an issue. Too many care about such minor issues it worries me.

Mkuu mbona unaishia njiani kuhusu historia ya Mlima wa Kilimanjaro, ni kweli uliwahi kuwa upande wa Kenya wakati wa utawala wa Waingereza nchini mwenu na utawala wa Wajerumani nchini Tanganyika. Sasa nini kilitokea? Mombasa ilikuwa upande wa Tanganyika i.e Kenya walitaka wawe na sehemu ya kujenga bandari ikabidi wakubaliane Mlima Kilimanjaro urudi Tanganyika na Mombasa iwe sehemu ya Kenya!!! Kama nakumbuka vizuri masimulizi.
 
we hata kama wata-launch hiyo swahili version ya window 7 kwa matumizi ya kiswahili bado sana na kwa ufupi tu haiwezekani.
Hata nchi hizo unazozisema kama China n.k ni kweli wameendelea na wanatumia lugha yao,lakini ukweli ni kwamba hata hao wanasomaKiingereza tena kwa nguvu sana siku hizi,kumekuwa ni Lazima kwa kusoma English kuanzia primary hadi High school.
Na Familia nyingi siku hizi wanaanza kusoma English tangu Nurseries tena kwa nguvu sana.
Ukiangalia wanafunzi vyuoni, vyuo vingi vinafundishwa kwa kichina wa wachina, lakini Post-graduate nyingi esp. za science,medicine .et.c wanatuia kiingereza hata maaandalizi yao ya thesis vyuo vingine ni lazima kwa kiingereza.
Hapa ni nanchotaka kusema sio kwamba nakidharau Kiswahili..la hasha..ila ni uhalisia wake wa kufundishia kwani kuna misamiati mingi sana ambayo hat haijulikani kwa kiswahili ni nini.
Pili most of knowledge are stored in Englsih Language ,ndio maana hat wachina wanasoma English kwa nguvu sana ili kuweza kupata hiyo knowledge iliyohifadhiwa kwa kiingereza.
Tutataka kiswahili, je teaching material sipo?? zinatosha ??
Kama shule za primary tu vifaa vya kufundishia bado havitoshi, sembuse na chuoni?

Naomba nipingane na mawazo yako mengi hasa hapo blue....... Si kweli kuwa kiingereza ndicho che ujuzi mwingi au ujuzi mwingi uko katika kiingereza...... suala ni kwamba ujuzi wa mwanzo kabisa na wa kisasa uliingia nchi zetu au hata sasa unaingia nchi zetu kwa lugha ya kiingereza. Ndiyo maana watu wengi wanahusianisha elimu au ujuzi na kiingereza. hivyo mtu yeyote ambaye anaongea kiingereza basi anatafsiriwa kama vile anajua vitu..... hivi kwamba hata wengine wanahisi kwamba mtu yeyote ambaye anaongea kiingereza basi ni intelligent. Hiyo ipo sana kwa nchi kama Kenya na Malawi, wengi hudhani usipojua kiingereza basi ninyi si intelligent. Sasa kwa mimi ambaye nimezunguka maeneo mengi ya dunia kama vile Continental Europe, Scandinavia, Eastern Europe, South america, Asia ......... wala sihusianishi kiingereza na ujuzi/elimu ...... mimi naona ni lugha tu kama vile kisukuma, kichina, kijapani,nk..... Nasema hivvyo kwa maana kuna kipindi nimeenda Japan nikaona mavitu yao ya kisayansi waliyoyabuni halafu maelekezo yote ni ya kijapani... hapo ndipo nikachoka....Vivyo hivyo nikaenda Netherlands nikaona jinsi walivyo reclaim land..... ni balaa......Nikaenda Sweden nikaona sub-way (matreni ya chini ya ardhi)...... yaani hao wote wana mavitu kwa lugha zao za asili....... sasa nikiona hivyo napata shida sana kuamini kwamba kiingereza is equivalent na ujuzi....... mimi naona pengine ukoloni wa waingereza umettufanya tuamini hivyo.....napenda kuita colonial hangover, kasumba ya ukoloni ndilo tatizo letu..... utakuta mtu kutoka nje ya nchi hana ujuzi wowote lakini kwa sababu anaongea kiingerza basi anapata ajira..... ni tatizo kubwa sana...

Pia cha kukumbuka ni kuwa maneno mengi ya kisayansi ya kiingereza yametoholewa kutoka kilatini na kigiriki..... hivyo kiingereza si stoo ya ujuzi...
 
Naona hapa kuna Kenya-Tanzania tu na uhusiano wa Kiswahili fasaha.
Hivi mumewafikiria Watumiaji wengine wa Kiswahili walioko Rwanda, Burundi, Kongo Mashariki, Komoro, Uganda na Msumbiji?
 
Hehehe. Its probably because the translators were based there. By the way, I have also seen people from Tz criticizing Facebook (swahili version) and Swahili Gmail eti kuwa kiswahili kinachotumiwa kwa mitandao hio ni cha kiKenya. Labda jambo muhimu ni kuwa na taasisi inayosimamia lugha katika nchi zote za Afrika mashariki ili ku-standardize Swahili.

I am sure we will hear of similar complaints from Windows 7. But I think its a good start. I am not sure i works with Office 2007 so I will probably not download it at the moment

Ndio ni mwanzo mzuri...
lakini PLEASE!, hebu tumieni kiswahili chenye hadhi..., shida sio kiswahili cha Kenya kwa sababu kiswahili cha kenya ni kizuri tu kwa wanaokijua, mbona Malindi na Mombasa wanaongea kiswahili murua kisicho changanywa na lugha za makabila wala kiingereza?tatizo ni kwamba hamtumii kiswahili sanifu kwenye hiyo mitandao, yaani kama kile kiswahili cha google translate ndio kabisaa! kinatia aibu,

Standard ya kiswahili ipo tayari - inaitwa kiswahili sanifu, watu wa Mombasa, Dar na Zanzibar wanaweza kukaa kitako wakaongea kiswahili wakaelewana..
 
Tena niulize, kuna tofauti gani baina ya Kiswahili kinachotumika katika pwani ya Kenya (ambacho ndio standard ya lugha inayotumiwa katika Windows 7 na pia katika wavuti zinginezo) na Kiswahili cha Tz?

Hapana, hiyo "standard" ya mitandaoni ni tofauti... kwa mfano neno 'sura kitabu' halina maana yoyote, bora wangetafuta maana asilia ya neno face book, halafu waanzie hapo kutafsiri, au kama hawakuwa na muda walau wangetumia neno 'kitabu cha sura' au hata 'kitabu sura' ingekuwa afadhali, lakini sura kitabu!... maan it makes no sense, na huo ni mfano mmoja tu....
 
Naomba nipingane na mawazo yako mengi hasa hapo blue....... Si kweli kuwa kiingereza ndicho che ujuzi mwingi au ujuzi mwingi uko katika kiingereza...... suala ni kwamba ujuzi wa mwanzo kabisa na wa kisasa uliingia nchi zetu au hata sasa unaingia nchi zetu kwa lugha ya kiingereza. Ndiyo maana watu wengi wanahusianisha elimu au ujuzi na kiingereza. hivyo mtu yeyote ambaye anaongea kiingereza basi anatafsiriwa kama vile anajua vitu..... hivi kwamba hata wengine wanahisi kwamba mtu yeyote ambaye anaongea kiingereza basi ni intelligent. Hiyo ipo sana kwa nchi kama Kenya na Malawi, wengi hudhani usipojua kiingereza basi ninyi si intelligent. Sasa kwa mimi ambaye nimezunguka maeneo mengi ya dunia kama vile Continental Europe, Scandinavia, Eastern Europe, South america, Asia ......... wala sihusianishi kiingereza na ujuzi/elimu ...... mimi naona ni lugha tu kama vile kisukuma, kichina, kijapani,nk..... Nasema hivvyo kwa maana kuna kipindi nimeenda Japan nikaona mavitu yao ya kisayansi waliyoyabuni halafu maelekezo yote ni ya kijapani... hapo ndipo nikachoka....Vivyo hivyo nikaenda Netherlands nikaona jinsi walivyo reclaim land..... ni balaa......Nikaenda Sweden nikaona sub-way (matreni ya chini ya ardhi)...... yaani hao wote wana mavitu kwa lugha zao za asili....... sasa nikiona hivyo napata shida sana kuamini kwamba kiingereza is equivalent na ujuzi....... mimi naona pengine ukoloni wa waingereza umettufanya tuamini hivyo.....napenda kuita colonial hangover, kasumba ya ukoloni ndilo tatizo letu..... utakuta mtu kutoka nje ya nchi hana ujuzi wowote lakini kwa sababu anaongea kiingerza basi anapata ajira..... ni tatizo kubwa sana...

Pia cha kukumbuka ni kuwa maneno mengi ya kisayansi ya kiingereza yametoholewa kutoka kilatini na kigiriki..... hivyo kiingereza si stoo ya ujuzi...

Nakubaliana na jamaa aliye zungumzia kuhusu Wachina kutaka kujua Kingereza kwa hudi na uvumba - Wachina sio wajinga wanajua fika umuhimu wa kujua kuzungumza Kingereza. Tukubaliane kwamba Kingereza kinaongoza kwenye nyanja za kisayansi, kibiashara nk nenda nchi yoyote Duniani kama umekwama uwezi kukosa raia ambaye hajui kuzungumza kingereza hata kama ni cha kuhunga hunga. Ntakupa mfano: Tafuta website yoyote ya mataifa yanayo tumia character kwenye maandishi yao - nchi kama Uchina, Japan, Korea hata kiaarabu, sasa vuta mouse pointer kwenye dilogue box chagua character yoyote, alafu angalia chini kwenye task bar utaona imeandikwa kingereza! Kwa nini? Hii ina maana hata kama hujui kuzungumza lugha za mashiriki ya mbali hata nyingine za Ulaya unaweza kujaza form kwenye mtandao wao kwa kutumia mouse na kuangalia kingereza kina sema nini kuhusu kuhusu character uliyochagua.
 
Back
Top Bottom