Microsoft internet explorer kutotumika tena kuanzia Agosti 2021

Ikiendelea kutumika haitapata security updates hivyo hackers watatumia mwanya huo kupitisha mashambulio yao
Msft wakisitisha support inamaana kwenye version zijazo pia wataiondoa kwenye code za windows. Huyo atakaekuwa anatumia anajua nini anachofanya, kama wanaotumia xp 2020.
 
sio kweli, unaweza tumia terminal ( eg: CMD ) ku download firefox, chrome, na wengine
Sio kweli kivipi? Nimesema browser maarufu sio the only way. . . .wanaotumia CMD ni wachache sana kuliko wanaotumie IE. Bado itaitwa browser maarufu. Nadhani hata wewe kabla ya kujua kutumia command ulianza na IE
 
Sijawahi kuipenda hata kidogo. Ina mambo mengi ya kipuuzi. Mozila nayo ina wenge sometimes, natumia chrom na uc
 
Sio kweli kivipi? Nimesema browser maarufu sio the only way. . . .wanaotumia CMD ni wachache sana kuliko wanaotumie IE. Bado itaitwa browser maarufu. Nadhani hata wewe kabla ya kujua kutumia command ulianza na IE

IE ina historia ndefu kwa watu wa IT wote...uko sawa mkuu!
 
Back
Top Bottom