Microsoft internet explorer kutotumika tena kuanzia Agosti 2021

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Kampuni ya Microsoft imetangaza kuifuta programu ya Internet Explorer ifikapo tarehe 17 Agosti, 2021 na wavuti ya Microsoft Teams haitafanya kazi na Internet Explorer 11 ambayo ni toleo jipya kabisa kuanzia Novemba 30, 2020

Programu zingine 365 za Microsoft 365 zitaendelea kufanya kazi na Internet Explorer hadi kufikia mwakani

Kampuni hiyo imetengeneza kivinjari cha Microsoft Edge kama mbadala wa Internet Explorer kilichotengenezwa na Kampuni ya Google kwa ajili ya programu yake ya Google Chrome ambacho kimeboresha na kutoa huduma nyingi zaidi
====
Microsoft has finally killed Internet Explorer

The browser will be finished on 17 August, 2021, the company said.

In a blog post, Microsoft explained that the Microsoft Teams web app will no longer support Internet Explorer 11 – the most recent and final iteration of the browser - from November 30, 2020.

The remaining Microsoft 365 apps and services will end support for the browser next year.

Replacing the browser is Microsoft Edge, the computer giant’s new browser which relies on Chromium open-source software, developed by Google for Google Chrome. That gives Edge more features than Internet Explorer.

There is an older version of Edge which does not use Chromium; that version will also be phased out on 9 March 2021.

With many websites and applications still using Internet Explorer, Microsoft is trying to avoid having two active browsers at once.

Instead, Microsoft Edge’s Internet Explorer Legacy mode means that users can stay on one browser – to “seamlessly experience the best of the modern web in one tab while accessing a business-critical legacy IE 11 app in another tab”, the company says.

The closure of Internet Explorer, and Microsoft’s non-Chromium browsers, has been on the cards for years. Internet Explorer 8, 9, and 10 were discontinued in 2016, while Microsoft Edge was introduced one year before, in 2015.

The move towards Chromium for Microsoft’s browser, compared to its previous proprietary browser, has larger ramifications for the future of the open internet. Those concerns have become more pressing in recent months because of, among other things, the fallout between the US government and TikTok.

Chromium is now the basis of Google Chrome, Microsoft Edge, Brave, Vivaldi, Avast Secure Browser, and Opera.

This means that Google has greater influence when it comes to what features are developed, practices accepted, and which usability concerns are deemed vital.

Nonetheless, the new Edge browser includes a range of features that differentiate it from others like Google Chrome.

This includes turning on tracking protection by default, which blocks both advertisements and almost all third-party tracking code.
 
Kuna baadhi ya application zitakuwa affected sana. Especially zile Application zinazotegemea zaidi javascripts. Developers watateseka kurekebisha program zao zilizokuwa zinategemea IE maana hii browser mpya ya edge imetengenezwa kutoka kwenye chrome.
 
Unamaanisha nini?
 
Unamaanisha nini?

Kuna organization na makampuni zinazotumia programs ambazo zilitengenezwa mahsusi kurun kwenye Internet Explorer tena kwenye specific versions . Kwasababu Intenet Explorer ilikuwa na wigo mpana wa kuruhusu matumizi huru ya javascript (hii unaweza kusema ni weakness kwa upande wa security).

Hizo program haziwezi kurun kwenye browser nyingine yoyote zaidi ya internet Explorer.
 
Dha ikipote itatuteta sana sisi developers, huwa tunatumia internet explorer kuona real time changes za HTML na CSS. Ukitumia Chrome, Mozila etc Huwa zina cache file kama css, na image unawaza wakati wa production useme ubadilishe css line labda padding hauwazi kuona changes mpaka u clear cache kwe browse, internet explorer imenisaidia sana kwenye web development
 
Kuna organization na makampuni zinazotumia programs ambazo zilitengenezwa mahsusi kurun kwenye Internet Explorer tena kwenye specific versions . Kwasababu Intenet Explorer ilikuwa na wigo mpana wa kuruhusu matumizi huru ya javascript (hii unaweza kusema ni weakness kwa upande wa security).

Hizo program haziwezi kurun kwenye browser nyingine yoyote zaidi ya internet Explorer.

ukiachana na banks hakuna sehem ingine mahususi wanaitumia kama tegemea
 
Mkuu unafikiri kwanini Windows xp and 7 zina marketshare kubwa sana? Majeshi mengi duniani bado wanatumia Xp and internet explorer, kuna makampuni makubwa na Taasisi za Serikali bado zipo nyuma sana na wapo slow kama konokono linapokuja Suala la changes.

Netmarketshare wanaonesha bado asilimia 5 ya watumiaji wa windows wanatumia Internet explorer, hao ni zaidi ya watu milioni 50.
 
Kampuni ya Microsoft imetangaza kuifuta programu ya Internet Explorer ifikapo tarehe 17 Agosti, 2021 na wavuti ya Microsoft Teams haitafanya kazi na Internet Explorer 11 ambayo ni toleo jipya kabisa kuanzia Novemba 30, 2020

Programu zingine 365 za Microsoft 365 zitaendelea kufanya kazi na Internet Explorer hadi kufikia mwakani

Kampuni hiyo imetengeneza kivinjari cha Microsoft Edge kama mbadala wa Internet Explorer kilichotengenezwa na Kampuni ya Google kwa ajili ya programu yake ya Google Chrome ambacho kimeboresha na kutoa huduma nyingi zaidi
====
Microsoft has finally killed Internet Explorer

The browser will be finished on 17 August, 2021, the company said.

In a blog post, Microsoft explained that the Microsoft Teams web app will no longer support Internet Explorer 11 – the most recent and final iteration of the browser - from November 30, 2020.

The remaining Microsoft 365 apps and services will end support for the browser next year.

Replacing the browser is Microsoft Edge, the computer giant’s new browser which relies on Chromium open-source software, developed by Google for Google Chrome. That gives Edge more features than Internet Explorer.

There is an older version of Edge which does not use Chromium; that version will also be phased out on 9 March 2021.

With many websites and applications still using Internet Explorer, Microsoft is trying to avoid having two active browsers at once.

Instead, Microsoft Edge’s Internet Explorer Legacy mode means that users can stay on one browser – to “seamlessly experience the best of the modern web in one tab while accessing a business-critical legacy IE 11 app in another tab”, the company says.

The closure of Internet Explorer, and Microsoft’s non-Chromium browsers, has been on the cards for years. Internet Explorer 8, 9, and 10 were discontinued in 2016, while Microsoft Edge was introduced one year before, in 2015.

The move towards Chromium for Microsoft’s browser, compared to its previous proprietary browser, has larger ramifications for the future of the open internet. Those concerns have become more pressing in recent months because of, among other things, the fallout between the US government and TikTok.

Chromium is now the basis of Google Chrome, Microsoft Edge, Brave, Vivaldi, Avast Secure Browser, and Opera.

This means that Google has greater influence when it comes to what features are developed, practices accepted, and which usability concerns are deemed vital.

Nonetheless, the new Edge browser includes a range of features that differentiate it from others like Google Chrome.

This includes turning on tracking protection by default, which blocks both advertisements and almost all third-party tracking code.
Browser maarufu kwa kudownload browser zingine. . . .
 
Mkuu unafikiri kwanini Windows xp and 7 zina marketshare kubwa sana? Majeshi mengi duniani bado wanatumia Xp and internet explorer, kuna makampuni makubwa na Taasisi za Serikali bado zipo nyuma sana na wapo slow kama konokono linapokuja Suala la changes.

Netmarketshare wanaonesha bado asilimia 5 ya watumiaji wa windows wanatumia Internet explorer, hao ni zaidi ya watu milioni 50.

explorer hua inakuja by default and you can never un install it, so i have it but i dont use it, kuhusu swala la windows 7 it depends kwa sababu windows 7 inayo enterprise version , you will still get frequest updates if you use the enterprise version but if and only if you paid it, sasa swala la explorer market share tukiongelea kuihalisia uhitaji wake ni sehem chache tu wanatumia not because wameshindwa kuupgrade but because hawataki kua confused so saying that means some people will still pay for explorer kuendelea kuwepo as enterprise
 
Toa win 7 mkuu, hio Xp na Internet explorer inatumika sana kwenye serikali na taasisi mbalimbali kubwa, even Atm juzi juzi tu hapa ndio wameanza kuhamia win 10, Nyingi zilikuwa Xp na sitashangaa kama mpaka leo zipo za Xp.

Mifumo mingi ya makombora, na silaha inatumia Chip za kizamani zisizosupport software za kisasa Xp inawahusu sana tu.
 
Back
Top Bottom