Wivu wa kike, unadhani ukiandika she ndio mafanikio yake yatahamia kwa familia yenu iliyoandamwa na wimbi la dhiki?where is 'she' kwenye hiyo picha?
ofcoz 'she' is just a kada.
Kwani walioambatana na kikwete ni usalama wa taifa?
Bangi mbaya sana..
Ndugu C.T.U unafanya hii maneno ya 'JF Senior expert member' ionekane umepewa kimakosa. Tulia, tafakari,,vuta pumzi,,shughulisha ubongo wako ukiwa umejipumzisha,,then njoo tujadili,,au vipi?
ndio! hutaki?
Maana swali lako halina mashiko..
Ndio maana ni,akuuliza hao wote walioongozana na jk ni usalama wa taifa?
Hujanijibu
Kwani walioambatana na kikwete ni usalama wa taifa?
Bangi mbaya sana..
Hapo kwenye red is SHE or HE?? BTW ndo anayepiga picha pembeni mwa prezidarwhere is 'she' kwenye hiyo picha?
ofcoz 'she' is just a kada.