Hongera mwaya, pesa unayo lakini watu wachache, wabongo hapo tungetembeza bakuli la toa ndugu toa ndugu ulichonacho na kujaza watu kibao huku vijijini mwetu kukiwa hakuna hata kibanda cha kufikishia maiti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.