Michubuko iliyokithiri wakati wa tendo

Michubuko iliyokithiri wakati wa tendo

Rafiki yako ni bwege watu tuna hamu sana na minato ye ndo anatafuta la kuchumpa atafute mchepuko akipwaya siku moja atarudi kwenye mnato wa mkewe na heshima, kuna k zinapwaya ka lambo ka jero
Ila kweli aisee. Inawezekana hajawahi kutana na rambo....
 
Nimeona na mm nichangie kidogo maana kama machale yamenicheza
Yawezekana vipi huja kutana na mwenza wako alafu unakuja kutana naye baada ya mwezi alafu ufanye naye mapenzi ya mda mfupi tu apate michubuko

Pamoja na mwanamke kuwa na uke mkavu lakini kama atachepuka basi atapata michubuko na akija kukutana na wewe ata singizia wewe ndio umemchubua.
Tuwe makini
 
Back
Top Bottom