Habari zenu wakuu.
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu ambaye ameoa mwaka wa 10 sasa. mke wake ana tatizo sugu la kuchubuka ukeni wakati wa kugegedana jamaa anajitahidi kumuandaa lakini inakuwa ngumu sana mke kulainika.
Hata akipiga kabao kamoja cha dakika 2 tayari mwanamke keshaanza kuumia mwaka huu walienda hosptl ya rufaa/misheni hapa ifakara kumwona mtaalam wa akinamama wakahojiwa na kuchunguzwa vizuri ikaonekana mke hana tatizo lolote la kiafya. Docta aliwapa ushauri pamoja na kuwaambia watumie mafuta ya KY.
Tatizo bado lipo palepale Kwa mda sasa jamaa yangu anaishia kupiga kabao kamoja tuu hakuna kurudia wala nini. Sasa ndoa inaelekea pabaya maana jamaa anapanga kutafuta mchepuko wa kudumu ili akapunguzie huko Kaja kuniomba ushauri nami sina cha kusema nikaona niingie humu naweza pata mawili matatu.
Anavyodai yeye pamoja na kuwa wameshazaa watoto 3, uke wa mke wake uko taiti mno. Hata akiingiza kidole kinaingia kwa shida. Sasa anahisi inawezekana labda kuna uvimbe kwa ndani. Na jamaa yangu maumbile yake ni ya kawaida kabisa, hivyo anadhani mwanamke atakuwa na tatizo sugu ambalo bado hajalitambua.
naombeni ushauri wakuu tumsaide huyu ndugu.