Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaJamani nitafutieni shemeji yangu
Mbavu zangu mie
HahahaJamani nitafutieni shemeji yangu
Hapana mkuuNimeona tangazo hapo anahitajika Mme![]()
![]()
![]()
nilete CV kabisa na working experience
HahahaKhaaa ulete kwa sakayo uko na mahela lakini
KhaaaaKama uko na mahela mengi mke umepata mana mdogo wake mie ndio mpitishaji mashemeji zangu
AiseeeNa hilo fungu liwe la mahela mengi yaani atake asitake mke umeshapata kikubwa unijaze mahela
Dunia simamaWoyooooooo basi mke umepata shem
Nipo hapa mdogo wangu mzuri zaidiJamani nani alikuteka dada angu mzuri mzuri nakuhamu tu mm![]()

HahahaShemeji yangu glass amo anaweza jinyonga
Wee Babu kakuruhusu uolewe?Dunia simama
Hahaha
Mbavu zangu mie
Mie nimeamua tuu sasa kuachana na michepuko@
Wee Babu kakuruhusu uolewe?