Ukuje unisaidie kuchagua mume bora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sakayo amechoka ako anatafuta mume
Nilitaka nimuone kama cio kbentenMwenyewe mpaka umemmiss leo
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbalizi nae anakuogopa anasema kwenda na wewe sawa lazima utumie tenzi za rohoni na bible
HahahaMliniona mm chizi nilivyotafuta babe nani anataka kucheka cheka
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba kumjua basi jamani
HahahaNakuja si huko pm wakijaa
HahahaNilitaka nimuone kama cio kbenten
We mwanamke kwani glass amo hakutoshi?Wakipatikana wengi atanigawia mmoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani kala kona kubwaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na yeye ako na hofu ya Mungu huonagi anashusha mistari ya tenzi za rohoni
Hongera mnoo jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishatafuta Baba D kasepa na kijiji sijui katekwa sijui yupo kwa maandamano kucheka cheka sitaki mie