Mi nmeiona moja tuMh
Si nimeweka tatu
unachokitafuta utakipataMke mweee glass amo kapotelea wap jamani
Sa si ndo uweke nyingine maana tatu na weekend hii?Bwana weeh vaa miwani nimeweka episode 3
Tafadhari naomba usimfanyie kitu mbaya best wangu Tumosaunachokitafuta utakipata
Best yangu akifanyiwa undava, ntakufanyia u COSA NOTRA mpaka Davet atakufaEbu niachie shem wangu glass amo uko na nn lakini au hupendi kuona tumosa nae akishushiwa thread
We huoni moneytalk kampiga biti hapoAfanyiwe undava na nani ebu waacheni wapendanao tumosa na shem wangu
Inavoshadadia sasaAfanyiwe undava na nani ebu waacheni wapendanao tumosa na shem wangu
HahahaEbu niachie shem wangu glass amo uko na nn lakini au hupendi kuona tumosa nae akishushiwa thread