OooohMmu uko kwa uzi wa hazard
Huu utamu sijaona wa kumpeaaUnakubalije kuwa mtawa jamani
YaaniMh tutakoma na hiyo mialiko
MnghNdiwooo
HahahhaaaaaaSawa aki, venye ushasema sina pingamizi
Nishasema utaropoka yoote ww mwenyeweMmu uko kwa uzi wa hazard
Akakufwe na utamu wakeUnakubalije kuwa mtawa jamani
Futari njemaShunie babe naenda futuru mie my love, nimealikwaa mwenziooo...
Mbalizi1 mpendwa, see you in a while my dear, naeda kukula futari !!!
Nawapenda hamjui tuu aki
Mngh!Unanasaje we muhenga umeshakwepa vihunzi vyote
Unaenda kufwa nao jamaniHuu utamu sijaona wa kumpeaa
Asijali kabisaaa, Asprin ilikuwa zamani!! Mie saivi nakuwa mtawa mpaka nipate mtu sahihi

Shkamoo Dada