HayaKeshapagusa anapajua
MmmhTaja wooote
EnheeeeeeJamani
Mie saivi meacha kuchepuka!! Kwanza najiongezea mikosi tuu mpendwa!!
Babu Asprin memwacha ndo alikuwa mchepuko wangu
KhaaaaWoyooooooooooooooooooooooooo
Siku nyingi akiKwahiyo sasa hivi ushamwacha eeh
Yupi huyo( maana kwa maelezo ya mdogo ako uko nao wengi)Yule babu Asprin nimemwacha ujue!! Aendelee na mkewe tuu, mie nitapata wangu!!
JamaniKuna mshipa, ely79 na wewe
MwenyeweMfyuuuuuuuu
Si unamjua mdogo ako hana kifua huyo.Hebu sema imekuwaje mdogo wangu mzuri
Asijali kabisaaa, Asprin ilikuwa zamani!! Mie saivi nakuwa mtawa mpaka nipate mtu sahihiAlikuwa anaona wivu uko nilivyomwambia asprin ni mchepuko wako
MnghKwahiyo sasa hivi ushamwacha eeh