Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
NdiwoooEnheeeeee
NdiwoooEnheeeeee
Mmeangukia pua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utabiri wetu hautuangushi kabisa
Mna matatizo eeenh!Hahahaha
Hebuu niibie faru Sakayo huko mie niuage umaskini
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbavu zangu
Hapo hapoKwani ni hapa
JamaniYupi huyo( maana kwa maelezo ya mdogo ako uko nao wengi)
AkiiiiMwenyewe
List haijakamilikaKuna mshipa, ely79 na wewe
MwenyeweMuone
AiseeeKinyume chake hiko mm na yeye wapi na wapi
Wapi huko jamaniiSi unamjua mdogo ako hana kifua huyo.
Kashusha list yako yoooote huko
Taja woote kama ulivomwanika kuleAlikuwa anaona wivu uko nilivyomwambia asprin ni mchepuko wako