michezo mingine mhhh

michezo mingine mhhh

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
62,190
Reaction score
128,261
michezo mingine.jpg sasa hapa kina dada wanacheza mchezo gani huuu jamani
 
Chunga tamaa mbaya unaweza ukaota umejenga angani!!
 
kwan hawaoni sehem nyingine ya kushika kumnyanyua mwenzao?
 
attachment.php


Fitness ni kitu bora katika maisha ya kila siku! Tukubali
 
Nafikiri wanakanyagana na kukomazana nanilii

Huwa inakomaa sana hasa kwa wale wanawake wanaoendesha baiskeli kwa muda mrefu. Mabinti wanatakiwa kukwepa sana kuendesha baiskeli ili zisije zikaondoa bikra zao-ushauri tu!
 
Wanajaribu kumnyanyua mwenzao juu. Hou mkono umezungushwa kwa nyuma ili kurahisisha kumbeba.
 
Wananyanyuana kwa hapo maana ndio katikati ya kiwiliwili,au unadnani wao wanafikiria zaidi ya zoezi lao??wanaona kiungo kilichoko hapo ni kama tuu viungo vingine vya mwili.
 
Back
Top Bottom