Michepuko

Michepuko

Tena ukimpa tigo anakuona malaya ulie kubuhu!
Ivi mbele akutoshi mpka umpe mtu tigo jamani mungu sio mjinga kuweka hiyo sehemu ati
Bora utoe hewa unaweza kumtolea mtoto njia kubwa ukasababisha kifo kwa mtt ni u.p.u.mbavu mijanamke inayofanya hivyo imelaaniwa yooote na naichukia kuliko maelezo alafu cha kushangaza yanatoa tigo na vibuti yanapigwa huwa hakuna muendelezo hapo mwanaume akishapata iyo tigo anasema anamuona uyo dem ni kicheche na kweli watoa tigo wote ni vicheche fyuuuuuuuùuuuuuuu
 
mchepuko ni dill kubwa wanasaidia kujenga familia zenu .... na kwa upande mwingine kama umemchoka mwenzio unampapu mchepuko anaaidia kuharibu ndoa
 
Mweeeeee tena mwanaume waivyo namuona hanisi tu kwangu kama skintight ya mbwaya pedo ndo ataiweza hahahaha akachape nje huko na akija kwangu mzigo hapati!!
hiyo roho ya uchoyo unatoa wapi... mwenzio ateseke wakati dawa ipo ndani
 
hujapenda wewe... subiri akitaka kuchepuka, utarudi unabembeleza mwenyewe ale tgo

mmmh una mawazo baridi sana wew kwaio kama nimekupenda ndio unile tigo??? mmmhhh sitaki kuamin ktk hili
 
Labda mimi sijui kupenda jamani,eti nikupe tigo ili usiende kwa mchepuko looooh…!!! Hyo dhambi sitokuja kuifanya maisha yangu yoote,Eeeeh Mungu niongoze kwa hili.
 
Doooooope!

 
Last edited by a moderator:
Hahahaha kuna sister duu mmoja ivii anafukunyuliwa 0713 kisa mpenzi wake asije muacha.
Dah I can't risk my life like that. Bora uchepuke tu ila ogopa maradhi

Wengi sana wako hivyo.
 
kile kiungo sio kigumu in such, kwanza hakina ata mfupa lol!!! ni nyama tu zile.... mwanzo mgumu ukizoea utaona kawaida

Ni kweli hakina mfupa,ila si kinakuwa kigumu....huku nyuma hapajaumbwa kupitisha vitu vigumu kama hivyo,kinyesi hakina ugumu unaofanania mashine bana..
 
aaaaghhh nikisikia mambo ya tigo napata kichefuchefu! hivi watu wanathubutu vipi kufanya huo uchafu jamani! aisee sitothubutu kamwe
 
Lol hili sualaaa mi silipendi na huo mtandao pendwa mnajua madhara yake!???? Ooooooooh si vyema kumgegeda tigo mpenzioooooo plis guys huko nyuma hapafai

Tatizo lenu mnafuata mkumbo. Duuuuh mmekuwa kama wapemba ambao wakisikia harufu ya maviiii tu washanusaaa mpaka kumtima!!
 
Kama mahaba ni kupeana tigo basi yanipite kama treni ya umeme, kama unapenda tigo hata wewe unayo unaweza jiingizia kwangu Big no tena siku unayoomba ndio mwisho wetu
Mwanaume hata aingize p**bu ndani ya papuchi lazima atachepuka
 
michepuko daily.. hizi mada ndo zinazohamasisha tabia ambazo mnajifanya mnazipiga vita..
 
Lol hili sualaaa mi silipendi na huo mtandao pendwa mnajua madhara yake!???? Ooooooooh si vyema kumgegeda tigo mpenzioooooo plis guys huko nyuma hapafai

Tatizo lenu mnafuata mkumbo. Duuuuh mmekuwa kama wapemba ambao wakisikia harufu ya maviiii tu washanusaaa mpaka kumtima!!

Olaaa mm mwenyewe mpemba asilimie chache wanaopenda hiyoo kituu tueshimiane banaa mbona wengine hatupend tigo kidini imeharamishwa yaan kiiman mtu anaelawitiwa nyumaa no disco ni moto hana hesabu hata km anatenda mema vp
 
mi naona ili suala la michepuko liingizwe kwenye katiba ili lihalalishwe kabisa. pia hili neno mchepuko liingizwe kwenye kamusi ya kiswahili kwani limesaidia kukuza lugha.


Hiki kitu hakiepukiki kwani hata ikihalalishwa bado watu watachepuka tu, yaani imekuwa ni fashion kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom