Hadi leo jamaa anawaza atarudi vipi kwake, Kamuaga mkewe anaenda China kwa ndege ya Malaysia iliyopotea tena akasindikizwa hadi airport, kumbe kazama mtaa wa tatu kwenye nyumba ndogo sasa ndege imepotea na abiria wote. Akirudi kwake atajieleza vipi? Toa maoni yako.
(MICHEPUKO SIO DILI)