Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,140
Wakuu jana mchepuko wangu umegoma kabisa kunipa haki yangu.
Madai yake ni kwamba eti nimfukuze mama watoto nyumbani then nimuoe yeye.
Yaani mimi nitupe friji nje halafu niweke deli la askirimu ndani?
No way.
update..
Wakuu mchepuko umeanza vimbwanga kuwa ndani ya week hii nisipomtimua wife basi ataenda kumtimua yeye mwenyewe .
Nimemwambia aende aone Kama sijang'oa bati la nyumbani kwao..
Kawa mpole na lipua lake Kama ngumi,,.