Michepuko inafilisi

Nikujiangalia tu mwenyewe. Kama mwanaume wanao wanaishi vibaya na unamchepuko ubaotumbua nao hata hupati thawabu.
Tatizo ni mizinga mingimingi isiyokuwa na mpangilio maalumu,hadi akiba ya maendeleo nikaanza kuingilia
 
ha ha ha ha ha
 
Eti...walai vile, ile course ya socialogy imakuharibu
 
Tatizo ni mizinga mingimingi isiyokuwa na mpangilio maalumu,hadi akiba ya maendeleo nikaanza kuingilia
Heshima ya maisha hii haifundishwi shule mzee baba.

Shule tunafundishwa maisha ni nini? Kisha tunajiongeza namna ya kuyaendesha.
 
Mm nimeamua kubaki njia kuuu kabisa, haya mambo yanafilisi kwakweli yaaani wala tusiongopeane mimi kuna watu na wajua wamechokoza haya mambo wanajilaumu sana, unakuta mchepuko anamjua mpaka mke wako na familia yako harafu linawahi kushika mimba ili mgandane
 
Tatizo michepuko yako Ni akina mwajuma ndala ndefu ndio shida mdogo wangu badili aina ya mchepuko aisee Kuna michepuko ya maaana aisee ukimiliki mpaka raha
 
Nadhani kuachana nao vizuri,ni mimi kupunguza kuwapigia simu na wao wakipiga nakuwa sipokei au nachelewa kupokea pamoja na kujiweka mbali nao;nadhani nikitumia njia hii watajiongeza.Ila nikikata mawasiliano kwa haraka wanaweza kuniharibia familia.
unaanza kumove mdogo mdogo nayo ni nzuri
 
Mtu anaona ufahari kumbe anazeeka mwili mpaka ubongo
Matokeo yake ni majuto tu hata kwa sisi vijana. Ukishakuwa na mahusiano na watu zaidi ya mmoja ni tatizo baadae japo tunaona ni ufahari na ulijari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…