Kuna mwingine huko anasomesha eti kamuoa , kaenda huko nako chuo kaolewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usithubutu kujifanya baba mzaz wa mtoto wa chuo watakuchuna mpaka ngozi wengi ni waigizaji tu anakuwa na wewe kwa malengo maalum akimalza chuo unabaki unalialia tu kama hivo
Najaribu kufikiria utaanzaje kuwaambia
Hii ni hatariNi kheri umelitambua hilo Mkuu[emoji41]
Mbaya zaidi ukiblock watakuja nyumbaniBlock mmoja baada ya mwingine
Na kwako piaUsiku mwema wakuu
ha ha ha ha wanapiga simu tu nakusema niagiazie mdudu,kuku n.kUnawapa vyakula vyakawida halafu huko unatoa fungu dhambi hiyo hata kama hawakuoni,
na ukute mchepuko una mchepuko mwingine
Amina kubwaNa kwako pia
ha ha ha ha wanapiga simu tu nakusema niagiazie mdudu,kuku n.k
Kwanini umpe ukweli wa kila kitu wakati una mkeMbaya zaidi ukiblock watakuja nyumbani
Nadhani kuachana nao vizuri,ni mimi kupunguza kuwapigia simu na wao wakipiga nakuwa sipokei au nachelewa kupokea pamoja na kujiweka mbali nao;nadhani nikitumia njia hii watajiongeza.Ila nikikata mawasiliano kwa haraka wanaweza kuniharibia familia.Kwanini umpe ukweli wa kila kitu wakati una mke
Eeh huyo kakufanya baba yake! Ila ndio raha ya kudate na vident hyo unakuwa baba yake piakuna mmoja ni mwanachuo fulan,ana chura matata leo anataka umpe fedha ya matumizi ya mwezi mzima,hujakaa sawa anataka laptop,hujageuka unaambiwa wazazi wangu wanataka matumizi....maji yamenifika shingoni inabidi nikimbie tu.
ha ha ha ha ni mtu mzima 32 yrsEeh huyo kakufanya baba yake! Ila ndio raha ya kudate na vident hyo unakuwa baba yake pia
Mida yote ni kupigwa mizinga tu;nikitafakari matumizi ya mwezi mmoja najikuta hakuna la maana nililofanya zaidi ya kukaa kati na kugaramia tu.Nikitazama mbele naona mwisho ni mbaya,kutimiza malengo binafsi inakuwa changamoto.....tuishi na michepuko kwa akili,ikiwezekana acha kabisa.
Wanaharibu mipango sana,kwa sababu wanajua huwezi kuishi nao...kwa hiyo wanakuwepo kwa ajili ya kuchuma tuMatokeo yake ni majuto tu hata kwa sisi vijana. Ukishakuwa na mahusiano na watu zaidi ya mmoja ni tatizo baadae japo tunaona ni ufahari na ulijari.
Kuna watu wanakuangalia Mara tatu tatu humu ujue!!Na mnachunwa kweli ashukuriwe maghufuli kufunga mianya yote ya wizi ili waanze kuhonga kengele zao
ha ha ha haNaona akili imekukaa sawa, sasa ni vizuri utulie usubiri muda wa kuchimba dawa kwasabu umeshashindwa kulipia choo cha stendi