Michepuko imeimarisha sana ndoa yangu

Shida watu hawajui kuchepuka 😂Mtu ukichepuka acha mawivu ya kijinga pia na wewe ujue huenda mwenzako anakigawa kama bagia huko nje ila kwa sababu hujamkata Cool, atakayemdaka mwenzake wa kwanza ndo mwenye makosa
Na uhakikishe ndoa inaheshimiwa na mchepuko !! Mchepuko hapaswi hata siku moja kukupanda kichwani.
Hakikisha hata siku moja mama hajui kuhusu mahusiano ya nje abaki na mashaka tu yale ya kibinadamu ila evidence hana ! 😂😂

Sasa mtu anakua na mchepuko nje analeta na dharau ndani huo ni umama ndo maana mnakamatwa !!
 
enjoy ndugu ndio iliyobaki
 
Kwanini asimuweze? Akishika hapo kifuani kwa kubinyabinya kama nusu saa na huku akiendelea kukamatia huko chini kwa kutumia vidole/ulimi kwa taratibu kwa muda wa nusu saa, kisha miguu akiiweka mabegani na akaiweka mashine ndani ikiwa wima kama mlingoti na akaichochea kwa taratibu (gently) kwa muda wa dakika 30 na kwa speed kwa muda wa dakika 20 za kumalizia atakuwa hajamuweza!!?
 

Ni kwamba mmeamua kuwa na free relationship, yeye wanamla, na wewe unakula, sasa Kwa wanaume kama sisi hayo hapana, tunaacha mwanamke ambaye hakai kwenye misingi ya ndoa na Heshima
 
Basi ngoja nitie nia ya kugombea ubunge jimboni kwangu, nitawala machangu na wabunge wenzangu wa kuteuliwa tutakaoletewa na Mh. Rais.
 
Watu wengi hawapendi kubanwabanwa,nadhani hata kufunga ndoa kungesitishwa,ibaki unaishi na mwanamke,mnazaa maisha yanaendelea.Mfano wewe mleta mada wewe unaenda nje unagonga michepuko,mkeo nae anaenda nje anagongwa,nyumbani panabaki ni sehemu ya makazi tu.Safi sana.Siku mojamoja unakua unamsihi mkeo kiutaniutani kua uwe unagongwa kisirisiri ili watu wasinidharau kua nagongewa sana,nayeye anakusihi hivyohivyo.Hapo mbona maisha yatazidi kua murua...?
Safi sana kiongozi.
 
 
Ile nafasi ya kuwa naye karibu tu, itawezekana?
 
Ni kwamba mmeamua kuwa na free relationship, yeye wanamla, na wewe unakula, sasa Kwa wanaume kama sisi hayo hapana, tunaacha mwanamke ambaye hakai kwenye misingi ya ndoa na Heshima
Siku akikunyima, huwa unatumia mbadala upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…