Michelle.........

hope unakumbuka I chased you somewhere.

Ntakusaidia kulea mapacha wa ODM.

Nafurahi kusikia hivyo.....!

Mimi ni Michelle wa Hashycool....soon to be Michelle wa ..............:yell: nitarejea :car:!
 
Michelle wa Hashcool? Mbona haina sound kabisa!
Baby kam to me. Michelle wa Shabhan is way sweeter!
 
Michelle, I missed you more kila Jumapili naulizwa na mchungaji, 'yuko wapi yule binti ulikuwa unakuja naye"

Please wakati uanmalizia safari na Bishanga, hebu tumalizie safari yetu ya toba kanisani.....
 
Mhhhhmmm wapi permanent advisor wangu Ashadii jamani?? Baby what can you offer me??? lol:bounce:

who is she? Achana na huyo Asha. Utakua hujashtuka mtoto mrembo na mtulivu kama wewe
lazma anakuonea wivu big time.
Atakudanganya. Come baby nina mengi ya kukupatia u will lav it.
 
Michelle, I missed you more kila Jumapili naulizwa na mchungaji, 'yuko wapi yule binti ulikuwa unakuja naye"

Please wakati uanmalizia safari na Bishanga, hebu tumalizie safari yetu ya toba kanisani.....

Kaizer,ulinitenga hadi nikaogopa kuingia hapa na dhambi zangu,nikaacha ibada...you are to blame for everything...so nimlete na Bishanga aje kutubu??? Miss you more and its good to see you here this morning!!
 
hapana Michelle, nilijitenga.....kwa sababu maalum. Bishanag anakaribishwa sana kutubu ila yeye ataanzia kwanza rehab nyumbani.
 
who is she? Achana na huyo Asha. Utakua hujashtuka mtoto mrembo na mtulivu kama wewe
lazma anakuonea wivu big time.
Atakudanganya. Come baby nina mengi ya kukupatia u will lav it.

Yaani huyo Ashadii ndo anatoa go-ahead Shabhan....hana hata sababu ya kunionea wivu....you will have to be accepted by her kwakweli.....Hayo mengi unayoweza nipa utamwambia yeye kwanza,sawa eeh??? lol
 
Michelle baby nisikilize. Mimi wanawake watoa ushauri nani umkatae na umkubali
hawako sinsia nawajua. Huyu Asha kama hua anakupa go ahead
basi yeye ndio sababu kubwa ya moyo wako kuumizwa. Achana nae i will treat u like a queen u ar. Tena ukute akija atataka abadili nafasi yako, kama vipi mpotezee huko!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…